mie nimemuelewa sana amesema picha zimechukuliwa kwa drone iliyopachikwa simu ya tecno ndo.iliyokuwa inabong'oa mafotoo hahahhahahThread ya kijinga hii[emoji37]
Ningesema kitu kuhusu moderators' leniency ila nimetoka BAN ya mwezi mmoja juzi juzi tu.Thread ya kijinga hii[emoji37]
Mbona umeshasema mkuuNingesema kitu kuhusu moderators' leniency ila nimetoka BAN ya mwezi mmoja juzi juzi tu.
Sukuuuuuuuuumah ndaniHaya sasa wale wanaonadi Tanzania tupo nyuma kwenye upande wa technology Hahaha Leo wamebaki modomo wazi baada ya IGP kukamilisha uchunguzi wa tukio LA kitekwa MO
Preeepreeeee Tanzania mbelekwambele
Kanyaga twende
Jamani kuna watu siwaoni humu au nao ndo kama MO? Lizaboni simuoni cku nyingi au kaenda likizo kwao kule ambako mtandao ni 1G?Haya sasa wale wanaonadi Tanzania tupo nyuma kwenye upande wa technology Hahaha Leo wamebaki modomo wazi baada ya IGP kukamilisha uchunguzi wa tukio LA kitekwa MO
Preeepreeeee Tanzania mbelekwambele
Kanyaga twende