Alituahidi baada ya siku 3 MO atapatikana….

Alituahidi baada ya siku 3 MO atapatikana….

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,979
Nilitegemea baada ya siku 3 MO atakua amepatikana kama alivyotuahidi mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa mkoa.
Hii ni kutokana na utekaji wa kwanza wa Roma kutuahidi na kweli utabiri ulitimia…
Vipi mbona kimya mkuu harudi kutupa mrejesho na kututia moyo sisi tunaesubiria ahadi ya unabii!?
 
Mo atakuwa the next kupatikana baada ya Ben sa8 kuonekana mkuu
 
Back
Top Bottom