Hakuna mchezaji wa Man u anayeweza ingia kwenye kikosi cha Kwanza cha Arsenal

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,642
Tutamlaum Mourinho weee but nimeangalia 1st eleven ya leo sijaona anayeweza kuingia kwenye team yoyote katika top six na akacheza hayupo hata mmoja

Hata Pogba hawezi
 
Tutamlaum Mourinho weee but nimeangalia 1st eleven ya leo sijaona anayeweza kuingia kwenye team yoyote katika top six na akacheza hayupo hata mmoja

Hata Pogba hawezi
Hili ndio tatizo la kushiba sana....

tapatalk_1531417504097.jpeg
 
Tutamlaum Mourinho weee but nimeangalia 1st eleven ya leo sijaona anayeweza kuingia kwenye team yoyote katika top six na akacheza hayupo hata mmoja

Hata Pogba hawezi
Unajaribu paka aonekane Simba kitu ambacho hakiwezekani jinsi walivyo ndio maumbile yao.
 
Hata Pogba .?
Unaumwa wewe .
Arsenal kuna mchezaji mwenye standard za Paul Pogba .
 
Pogba na de gea tu ndo wanaweza kuingia lakini wengine ni hopeless kabisa..
Empty set
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom