ilikuwa ununio ikafatia Gymkhana what next?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,201
kulikuwa na taarifa mbali mbali zikisambaa kwamba Asipopatikana mpaka tarehe 20 basi shughuri na viwanda vyote vilivyokuwa chini yake vitafungwa lakini taarifa hii ilikanwa na ndugu zake kwamba ni potofu ,

Na leo ni tarehe ngapi ? Yapi maksudi ya kuachiwa kwake ? Na kwa nini iwe tarehe 20? na kama taarifa ilikuwa ni potofu yapi maksudi ya kusambazwa kwake?

Turudi kwenye tarehe 19 kabla ya kuachiwa kwake usiku wa tarehe 20.

IGP alikuwa na press muda sawa na ule muda ambao mhe pale magogoni alikuwa na wachezaji wa timu ya Taifa na wote walikuwa live mmoja kupitia Television ya taifa TBC mwingine kupitia vyombo vingine vya habari online platform,

Unajua sababu ya kufanya vile hapo sioji tena nawaachia nyie mie naogopa CCTV camera za bibi zisije kukosa kucapture tukio,

ilikuwa Ununio imefatia Gymkhana what Next?
IMG_20181020_064810_296.jpeg

Kwa mala ya kwanza kuona hii picha ya Mo nilijua ni Mo salah.
 
Vyombo vyetu vya usalama pamoja na kazi nzuri wanazofanya vinashindwa kuweka mtiririko wa matukio vizuri, huwezi kutoa press halafu siku hiyo apatikane, wangeshikilia siku mbili tatu wamuachie ili angalau wananchi waone kuna juhudi zimefanyika.
 
Mmoja mmoja wanjitahidi na wanasema ,lakini amri za juu ndiyo shida
 
Ili iweje kwamba kama ni kudanganya ionekane kweli, hpn bado kuna tatizo ni kwanin hizi tabia zimekuwa endelevu hasa zama hizi za mawe za sasa
Vyombo vyetu vya usalama pamoja na kazi nzuri wanazofanya vinashindwa kuweka mtiririko wa matukio vizuri, huwezi kutoa press halafu siku hiyo apatikane, wangeshikilia siku mbili tatu wamuachie ili angalau wananchi waone kuna juhudi zimefanyika.
 
Vyombo vyetu vya usalama pamoja na kazi nzuri wanazofanya vinashindwa kuweka mtiririko wa matukio vizuri, huwezi kutoa press halafu siku hiyo apatikane, wangeshikilia siku mbili tatu wamuachie ili angalau wananchi waone kuna juhudi zimefanyika.

Kula wembe walahi
Ptuuuu la uso
 
Ili iweje kwamba kama ni kudanganya ionekane kweli, hpn bado kuna tatizo ni kwanin hizi tabia zimekuwa endelevu hasa zama hizi za mawe za sasa
Ili vyombo vyetu visidharauliwe na wananchi
 
Vyombo vyetu vya usalama pamoja na kazi nzuri wanazofanya vinashindwa kuweka mtiririko wa matukio vizuri, huwezi kutoa press halafu siku hiyo apatikane, wangeshikilia siku mbili tatu wamuachie ili angalau wananchi waone kuna juhudi zimefanyika.
Kazi nzuri ipi unaongelea hapo..mbona kama unaungamkono matukio ya utekaji.....jambo la msingi ni kuacha kuendekeza matukio ya utekaji
 
Watanzania bana wanafurahisha wakati hajapatikana mlitaka apatikane akiwa salama.
Leo kapatikana mnalaum tena kuwa amepatikana mapema baada ya mkutano wa SIRRO sasa lipi jema kwenu..
.Hao kumrudisha na gar hilo hilo ni sahihi kabisa maana sasa hilo gari kuliko ukutwe nalo au likutwe kwako nafuu umshike korodani Jiwe maana usalama wanaweza kukuachia.

Ili kupoteza raman wameona walitelekeze ili isijulikane lilikuwa wap.

Binafsi nimeona wametumia akili maana nje wasingetoka nalo tena nje,
 
kulikuwa na taarifa mbali mbali zikisambaa kwamba Asipopatikana mpaka tarehe 20 basi shughuri na viwanda vyote vilivyokuwa chini yake vitafungwa lakini taarifa hii ilikanwa na ndugu zake kwamba ni potofu ,

Na leo ni tarehe ngapi ? Yapi maksudi ya kuachiwa kwake ? Na kwa nini iwe tarehe 20? na kama taarifa ilikuwa ni potofu yapi maksudi ya kusambazwa kwake?

Turudi kwenye tarehe 19 kabla ya kuachiwa kwake usiku wa tarehe 20.

IGP alikuwa na press muda sawa na ule muda ambao mhe pale magogoni alikuwa na wachezaji wa timu ya Taifa na wote walikuwa live mmoja kupitia Television ya taifa TBC mwingine kupitia vyombo vingine vya habari online platform,

Unajua sababu ya kufanya vile hapo sioji tena nawaachia nyie mie naogopa CCTV camera za bibi zisije kukosa kucapture tukio,

ilikuwa Ununio imefatia Gymkhana what Next?
View attachment 904326

Kwa mala ya kwanza kuona hii picha ya Mo nilijua ni Mo salah.
Season 1 imeishia hapo.
Tusubiri next season.
 
Back
Top Bottom