Wahusika wote pokeeni ‘ pongezi ‘ za dhati kabisa kwa kufanikisha lile mlilolifanikisha Jimukana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Mwenyezi Mungu / Allah

Kwa kuweza kutupa Watanzania wengi ‘ akili ‘ nyingi na kubwa kuliko za wale ambao ama ‘ Wanatutawala ‘ au ‘ Wanatuongoza ‘ japo Wao wanadhani wanaongoza ‘ Matahaira ‘ au ‘ Maboga ‘ tupu.

Mtandao wa JamiiForums

Kwa kuweza kutukutanisha Watanzania wengi makini na werevu ambao kwa muda mrefu tokea Mr. From Collesium to Gymkhana ‘ apotee ‘ kwa ‘ Kutekwa ‘ na ‘ Wazungu Pori ‘ tumekuwa kila siku bila ‘ Kuchoka ‘ tukipaza Sauti zetu hapa Jamvini ili apatikane huku wengine wakitoa ‘ Utaalam ‘ wao ambao nina uhakika kwa kiasi fulani umesaidia kupatikana Kwake. Mbarikiwe sana.

Mwanadada Mange Kimambi

Tukatae tukubali ‘ impact ‘ ya huyu Dada katika ‘ Ushawishi ‘ wa Kimawazo / Kifikra ni mkubwa ( hata kama Watu fulani hawampendi ) ila ‘ maandiko ‘ yake yaliyojawa na ‘ Unyeti ‘ wa mambo makubwa makubwa na ya ndani kabisa umeweza kusidia wale waliokuwa na nia mbaya / ovu dhidi ya Mr. From Collesium to Gymkhana waogope, washikwe na aibu na washindwe Kukifanikisha kile ambacho walikuwa wakidhamiria Kumfanyia. Abarikiwe mno.

Mbunge Zitto Kabwe

Ukiwa Popoma / Mpumbavu kamwe hutokuwa unaweza kumwelewa huyu Mtu ila kama ukiwa unatuliza ‘ akili / fikra ‘ zako hakuna Kiongozi Kijana na makini ambaye kwa sasa Tanzania ‘ tumebarikiwa ‘ nae kama Zitto Kabwe ( Mtakaonuna nuneni na ikiwezaka pasukeni mfe kabisa ila ndiyo ukweli wenyewe )

Zitto Kabwe ( Mtani wangu wa Kiha ) kamwe hakuwahi Kuchoka kumzungumzia na kumpigania Mr. From Collesium to Gymkhana aachiwe huko alikokuwa japo aliweza kupokea ‘ Vitisho ‘ vya hapa na pale ila bado aliendelea kutoa mchango wake wa mawazo na utaalam ambao naamini pia uliweza ‘ Kuwaogofya ‘ wale waliotutesa Watanzania kwa Siku Tisa / Kenda zilizopita. Abarikiwe sana.

Evarist Chahali

Hata kama alishawahi kuwa ndani ya ‘ System ‘ nyeti ya nchi lakini akatoka zake bado huwezi kuacha hata kumuamini 75% dhidi ya zile 100% kwa yale ambayo huwa anayasema. Nina uhakika pia kwamba kwa ‘ mabandiko ‘ yake ya Kimaelezo yaliyojawa ‘ Utaalam ‘ wake wa Kijasusi / Kinjagu basi aliweza pia kuwafanya ‘ Watekaji ‘ wa Mr. From Collesium to Gymkhana wafikirie mara mbili mbili na hatimaye kumuachia. Abarikiwe mno.

Mbunge na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani Godbless Lema

Tukatae tukubali Mbunge Lema japo tunaweza ‘ Kumpuuza ‘ kuwa labda katika ile ' Press Conference ' yake ya mwanzo hakuwa na ‘ Hoja ‘ ila nina uhakika kuwa Mheshimiwa Lema alikuwa na ‘ taarifa ‘ kamili yenye ujazo wa ‘ Unyeti ‘ wake ila pengine aliona kwamba kwa siku ile ‘ awajambishe / awashtue ‘ Kwanza ‘ Watekaji ‘ ili wajitafakari kabla ya Uamuzi wake wa kutaka kuja kufanya ' Press Conference ' yake ya Kumaliza Kila kitu leo na hatimaye aliowajambisha / aliowashtua kweli wakatii amri usiku wa Saa 8:34 na Kumuachia waliomshika. Abarikiwe sana.

Watanzania wote wenye Mapenzi mema, wawazi na wasio na chembe ya Unafiki wala chuki

Kama kuna Watu ambao nina uhakika pia kuwa ndiyo wamechangia 99.9% ya kupatikana kwa Mr. From Collesium to Gymkhana basi ni wale Watanzania ambao siku zote wana mapenzi mema kwa nchi hii, wawazi na hawana chembe zozote zile za Unafiki na Chuki ambao usiku na mchana wamekuwa wakipaza Sauti zao katika ‘ Social Media Platforms ‘ zao mbalimbali na si uwongo ‘ Kilio ‘ chao Mwenyezi Mungu amekisia na Mpendwa wetu tunae. Mbarikiwe / Wabarikiwe mno.

Rais JPM

Tokea siku ya tukio hadi jana kama Kiongozi Mkuu wa nchi na mwenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa Tanzania wala hakuwahi / hakuthubutu hata kuinua ‘ mdomo ‘ wake kusema chochote kile juu ya Kupotea kwa Mr. From Collesium to Gymkhana ila kilichokuwa tu ‘ akilini ‘ mwake ni kuwataka Wachezaji wa Taifa Stars waache kupiga mabao / magoli ya Vitandani na badala yake wapige ‘ hat trick ‘ za Uwanjani na akawapa hadi Zawadi ya Mtonyo / Pesa ( sijui Shilingi ngapi mtanikumbusha )

Kwa umuhimu wake ‘ aliyetekwa ‘ hasa Kiuchumi na Kiajira ndani ya ardhi ya Tanzania kwa maoni yangu nadhani Rais JPM hakupashwa Kulala na badala yake angehangaika huku na kule lakini kubwa zaidi angejitokeza hadharani Kukemea na Kulaani ili hii tabia ikome na isijirudie tena badala yake akawaachia Kazi wafanya mazingaombwe wake Watatu RC wa Dar es Salaam, IGP Sirro na RPC Mambosasa waendelee kutufanyia ‘ mazingaombwe ‘ ya Kutukuka Watanzania ambayo hata hiyo yamehitimishwa rasmi usiku wa kuamkia leo. Abarikiwe.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Huyu nae anapashwa Kukongolewa / Kupongezwa sana tu kwani Siku ya tukio alikuwa ‘ Kimbelembele ‘ katika kuonyesha ‘ Ushirikiano ‘ kwa wana Dar es Salaam kama siyo Watanzania kwa ujumla ila kilichonishangaza tokea ‘ day two ‘ hadi usiku wa kuamkia leo alipopatikana Mr. From Collesium to Gymkhana hajaonekana tena, hajulikani alipo, amekuwa kimya na labda kuanzia Kesho tutaweza kumuoa tena na kumsikia. Abarikiwe.

IGP Sirro

Kama kuna IGP ambaye si tu ameacha bali ataacha Historia yake ikumbukwe na Vizazi na Vizazi basi ni huyu. Kwa kujiamini kabisa jana aliweza Kutuonyesha Gari rangi ya ‘ dark blue ‘ kusema kwamba ndiyo ilitumika ‘ Kumtekea ‘ Mpendwa wetu Mr. From Collesium to Gymkhana huku akipishana Kimaelezo na mwana ‘ Mazingaombwe ‘ mwenzie RPC Mambosasa.

Huyu nampongeza / namkongole kidhati kabisa kwakuwa ni baada tu ya yale ‘ Mazingaombwe ‘ yake ya jana ndipo alipoharibu kila kitu ( na nahisi huko aliko sasa analaumiwa vilivyo ) kwani ‘ uwasilishaji ‘ wake ulijawa na ‘ mashaka ‘ makubwa hasa kwa ‘ Great Thinkers ‘ waliotukuka na nahisi pengine hata ‘ Watekaji ‘ nao waliona ‘ mambo yameharibika ‘ na ‘ wataumbuka zaidi wakaamua kutuachia ‘ Mpendwa ‘ wetu. Abarikiwe.

RPC Mambosasa

Ukimwangalia tokea siku ya Kwanza ya tukio hadi alipokuwa akifanya ‘ late hours Press Conference ‘ yake ya kupatikana kwa Mr. From Collesium to Gymkhana utagundua ya kwamba kuna uwezekano mkubwa tu baada ya Mafunzo yake ya Polisi / Undata basi pia alienda kusome Usanii / Uwongo na ufanyaji wa ‘ Mazingaombwe ‘ na amefanikiwa nayo vizuri sana.

Ni huyu ndiye alisema Gari lililoonekana lilikuwa ni la rangi ‘ Nyeusi ‘ na jana tu ‘ Mwanamazingaombwe ‘ mwenzie IGP Sirro katuonyesha Gari rangi nyingine. Ni huyu huyu pia alisema kuwa CCTV Camera sijui ‘ footage ‘ ya eneo husika zilikuwa hazionyeshi vizuri ila CCTV Camera iliyopo ama iliyokuwa ‘ Ubongoni ‘ mwa IGP Sirro yenyewe jana ilionyesha vizuri kabisa tena huku ikionyesha tukio lilifanyika mchana wakati kumbe kiuhalisia lilifanyika alfajiri. Abarikiwe.

Nawasilisha.
 
Haya bwana GENTAMYCINE nimekubali kuwa wanatuona wote ni mapopoma kumbe akili zetu zinafanya kazi kuliko timing belt ya GX110. Ila nimecheka kidogo leo asubuhi maana vijana wataacha kupiga magoli ya vitandani. Sasa tuko mkao wa kula kusubiria sinema linalofuata.
 
KICHAA ANASTAHILI PONGEZI ZAIDI KWA KUTUTEULIA VICHAA WENZAKE WATUFANYIE MAZINGAOMBWE.
 
Umechambua vizuri sana mkuu. Mkuu upo vizuri sana,, ila nakushauri achana na ushabiki wa chama cha ccm utakuwa mchambuzi mzuri, kwanza ushaona tayari CCM hakina huruma kwa wananchi wake, haiwezekani mwenyekiti wetu wala mbunge hata mmoja wa chama alietoka adharani kuonyesha kuuzunika na ili lililotokea,, Tumeona ni wabunge wachache wa upinzani ndio walipaza sauti kwa kila namna kuhakikisha ndugu yetu anapatikana,,,
 
Mimi nawapongeza watekaji pekee,kwa kuona ni busara kutomdhuru na kumuacha tu ufukweni.

Sioni mtu yeyote anayestahili pongezi hapa zaidi,sitaki kuwa mnafiki.
 
Kwa mara ya kwanza toka uzaliwe umeweza kuona kaanani na Nazareth bila darubini hongera mkuu kwa mawazo pevu
 
Uliowataja ni hatari, wana upeo mno..Zitto hapo umenena, aisee yuko vizuri huyu kijana mwenzetu, navuliwa naye mno!
 
Mwenyezi Mungu / Allah

Kwa kuweza kutupa Watanzania wengi ‘ akili ‘ nyingi na kubwa kuliko za wale ambao ama ‘ Wanatutawala ‘ au ‘ Wanatuongoza ‘ japo Wao wanadhani wanaongoza ‘ Matahaira ‘ au ‘ Maboga ‘ tupu.

Mtandao wa JamiiForums

Kwa kuweza kutukutanisha Watanzania wengi makini na werevu ambao kwa muda mrefu tokea Mr. From Collesium to Gymkhana ‘ apotee ‘ kwa ‘ Kutekwa ‘ na ‘ Wazungu Pori ‘ tumekuwa kila siku bila ‘ Kuchoka ‘ tukipaza Sauti zetu hapa Jamvini ili apatikane huku wengine wakitoa ‘ Utaalam ‘ wao ambao nina uhakika kwa kiasi fulani umesaidia kupatikana Kwake. Mbarikiwe sana.

Mwanadada Mange Kimambi

Tukatae tukubali ‘ impact ‘ ya huyu Dada katika ‘ Ushawishi ‘ wa Kimawazo / Kifikra ni mkubwa ( hata kama Watu fulani hawampendi ) ila ‘ maandiko ‘ yake yaliyojawa na ‘ Unyeti ‘ wa mambo makubwa makubwa na ya ndani kabisa umeweza kusidia wale waliokuwa na nia mbaya / ovu dhidi ya Mr. From Collesium to Gymkhana waogope, washikwe na aibu na washindwe Kukifanikisha kile ambacho walikuwa wakidhamiria Kumfanyia. Abarikiwe mno.

Mbunge Zitto Kabwe

Ukiwa Popoma / Mpumbavu kamwe hutokuwa unaweza kumwelewa huyu Mtu ila kama ukiwa unatuliza ‘ akili / fikra ‘ zako hakuna Kiongozi Kijana na makini ambaye kwa sasa Tanzania ‘ tumebarikiwa ‘ nae kama Zitto Kabwe ( Mtakaonuna nuneni na ikiwezaka pasukeni mfe kabisa ila ndiyo ukweli wenyewe )

Zitto Kabwe ( Mtani wangu wa Kiha ) kamwe hakuwahi Kuchoka kumzungumzia na kumpigania Mr. From Collesium to Gymkhana aachiwe huko alikokuwa japo aliweza kupokea ‘ Vitisho ‘ vya hapa na pale ila bado aliendelea kutoa mchango wake wa mawazo na utaalam ambao naamini pia uliweza ‘ Kuwaogofya ‘ wale waliotutesa Watanzania kwa Siku Tisa / Kenda zilizopita. Abarikiwe sana.

Evarist Chahali

Hata kama alishawahi kuwa ndani ya ‘ System ‘ nyeti ya nchi lakini akatoka zake bado huwezi kuacha hata kumuamini 75% dhidi ya zile 100% kwa yale ambayo huwa anayasema. Nina uhakika pia kwamba kwa ‘ mabandiko ‘ yake ya Kimaelezo yaliyojawa ‘ Utaalam ‘ wake wa Kijasusi / Kinjagu basi aliweza pia kuwafanya ‘ Watekaji ‘ wa Mr. From Collesium to Gymkhana wafikirie mara mbili mbili na hatimaye kumuachia. Abarikiwe mno.

Mbunge na Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani Godbless Lema

Tukatae tukubali Mbunge Lema japo tunaweza ‘ Kumpuuza ‘ kuwa labda katika ile ' Press Conference ' yake ya mwanzo hakuwa na ‘ Hoja ‘ ila nina uhakika kuwa Mheshimiwa Lema alikuwa na ‘ taarifa ‘ kamili yenye ujazo wa ‘ Unyeti ‘ wake ila pengine aliona kwamba kwa siku ile ‘ awajambishe / awashtue ‘ Kwanza ‘ Watekaji ‘ ili wajitafakari kabla ya Uamuzi wake wa kutaka kuja kufanya ' Press Conference ' yake ya Kumaliza Kila kitu leo na hatimaye aliowajambisha / aliowashtua kweli wakatii amri usiku wa Saa 8:34 na Kumuachia waliomshika. Abarikiwe sana.

Watanzania wote wenye Mapenzi mema, wawazi na wasio na chembe ya Unafiki wala chuki

Kama kuna Watu ambao nina uhakika pia kuwa ndiyo wamechangia 99.9% ya kupatikana kwa Mr. From Collesium to Gymkhana basi ni wale Watanzania ambao siku zote wana mapenzi mema kwa nchi hii, wawazi na hawana chembe zozote zile za Unafiki na Chuki ambao usiku na mchana wamekuwa wakipaza Sauti zao katika ‘ Social Media Platforms ‘ zao mbalimbali na si uwongo ‘ Kilio ‘ chao Mwenyezi Mungu amekisia na Mpendwa wetu tunae. Mbarikiwe / Wabarikiwe mno.

Rais JPM

Tokea siku ya tukio hadi jana kama Kiongozi Mkuu wa nchi na mwenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa Tanzania wala hakuwahi / hakuthubutu hata kuinua ‘ mdomo ‘ wake kusema chochote kile juu ya Kupotea kwa Mr. From Collesium to Gymkhana ila kilichokuwa tu ‘ akilini ‘ mwake ni kuwataka Wachezaji wa Taifa Stars waache kupiga mabao / magoli ya Vitandani na badala yake wapige ‘ hat trick ‘ za Uwanjani na akawapa hadi Zawadi ya Mtonyo / Pesa ( sijui Shilingi ngapi mtanikumbusha )

Kwa umuhimu wake ‘ aliyetekwa ‘ hasa Kiuchumi na Kiajira ndani ya ardhi ya Tanzania kwa maoni yangu nadhani Rais JPM hakupashwa Kulala na badala yake angehangaika huku na kule lakini kubwa zaidi angejitokeza hadharani Kukemea na Kulaani ili hii tabia ikome na isijirudie tena badala yake akawaachia Kazi wafanya mazingaombwe wake Watatu RC wa Dar es Salaam, IGP Sirro na RPC Mambosasa waendelee kutufanyia ‘ mazingaombwe ‘ ya Kutukuka Watanzania ambayo hata hiyo yamehitimishwa rasmi usiku wa kuamkia leo. Abarikiwe.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Huyu nae anapashwa Kukongolewa / Kupongezwa sana tu kwani Siku ya tukio alikuwa ‘ Kimbelembele ‘ katika kuonyesha ‘ Ushirikiano ‘ kwa wana Dar es Salaam kama siyo Watanzania kwa ujumla ila kilichonishangaza tokea ‘ day two ‘ hadi usiku wa kuamkia leo alipopatikana Mr. From Collesium to Gymkhana hajaonekana tena, hajulikani alipo, amekuwa kimya na labda kuanzia Kesho tutaweza kumuoa tena na kumsikia. Abarikiwe.

IGP Sirro

Kama kuna IGP ambaye si tu ameacha bali ataacha Historia yake ikumbukwe na Vizazi na Vizazi basi ni huyu. Kwa kujiamini kabisa jana aliweza Kutuonyesha Gari rangi ya ‘ dark blue ‘ kusema kwamba ndiyo ilitumika ‘ Kumtekea ‘ Mpendwa wetu Mr. From Collesium to Gymkhana huku akipishana Kimaelezo na mwana ‘ Mazingaombwe ‘ mwenzie RPC Mambosasa.

Huyu nampongeza / namkongole kidhati kabisa kwakuwa ni baada tu ya yale ‘ Mazingaombwe ‘ yake ya jana ndipo alipoharibu kila kitu ( na nahisi huko aliko sasa analaumiwa vilivyo ) kwani ‘ uwasilishaji ‘ wake ulijawa na ‘ mashaka ‘ makubwa hasa kwa ‘ Great Thinkers ‘ waliotukuka na nahisi pengine hata ‘ Watekaji ‘ nao waliona ‘ mambo yameharibika ‘ na ‘ wataumbuka zaidi wakaamua kutuachia ‘ Mpendwa ‘ wetu. Abarikiwe.

RPC Mambosasa

Ukimwangalia tokea siku ya Kwanza ya tukio hadi alipokuwa akifanya ‘ late hours Press Conference ‘ yake ya kupatikana kwa Mr. From Collesium to Gymkhana utagundua ya kwamba kuna uwezekano mkubwa tu baada ya Mafunzo yake ya Polisi / Undata basi pia alienda kusome Usanii / Uwongo na ufanyaji wa ‘ Mazingaombwe ‘ na amefanikiwa nayo vizuri sana.

Ni huyu ndiye alisema Gari lililoonekana lilikuwa ni la rangi ‘ Nyeusi ‘ na jana tu ‘ Mwanamazingaombwe ‘ mwenzie IGP Sirro katuonyesha Gari rangi nyingine. Ni huyu huyu pia alisema kuwa CCTV Camera sijui ‘ footage ‘ ya eneo husika zilikuwa hazionyeshi vizuri ila CCTV Camera iliyopo ama iliyokuwa ‘ Ubongoni ‘ mwa IGP Sirro yenyewe jana ilionyesha vizuri kabisa tena huku ikionyesha tukio lilifanyika mchana wakati kumbe kiuhalisia lilifanyika alfajiri. Abarikiwe.

Nawasilisha.
Hapo kwa JPM umechemsha sana.
 
:D:D:D:D:D:D:D:D:D aiseeeee hao wa nne kutoka mwisho wabarikiwe kweli.
 
The coming season
 
Back
Top Bottom