Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Habari ya weekend wanandugu,natumaini mko salama kabisa huku tukifurahia kurejeshwa kwa MO wetu.
Mwenzenu tangu niachane na demu wangu mwaka jana mwezi wakumi ambaye nilitegemea pia angekuja kuwa mama wa watoto wangu kiukweli nimeanza kumis kuingia kwenye mahusiano, lakini namuomba Mungu sana anipe mtu sahihi mana sasa nahitaji familia mengine yatakuja tu.
Japo huyu X wangu aliniumiza sana na sikutegemea kama ningekuja kumsahau kabisa lakini Mungu ni mwema nimeweza na sitaki tena hata kumsikia mana naamini kabisa Mungu aliona kwamba hatokua sahihi kwangu.