Tafadhali kichwa cha habari hapo juu kinahusu wito kwenu Tricode Online Tv .
Kazi zenu za maswala ya conspiracies na mambo mengine ya uelewa wa dunia ya ndani(deep world) kwa kiasi fulani...
Serikali kupitia Wizara ya Madini imepiga marufuku usafirishwaji wa kaboni kwa ajili ya kuchenjulia madini ya dhahabu kutoka mkoa mmoja hadi mwingine na kusisitiza kuwa haitasita kumchukulia hatua...
Huku ndiko Dunia yetu inapokwenda kwa sasa! Huyu mzazi si mwenye kipato kikubwa ni mwenye hali ya kipato cha kawaida sana. Anaitwa mzee OJOHI MASINA mzaliwa wa Utegi, ni mkazi wa Kambi hii ya...
Baada ya Jana kusikiliza press ya IGP nilisema kabisa..watekaji wamebanwa kila kona na soon Polish watawapata na ndicho kilichotokea..
Vijana wenzangu tuwe na uzalendo na kujikubali..ujanza sio...
Ivi aliyetoa ili agizo ama aliye pendekeza ili pendekezo la kuihamisha hii stendi ya kawe kutoka ukwamani kwenda pale msikitini ni nani
Mbona ni kama ule uamuzi uliofanywa wa kuihamisha ile...
Ndugu zangu Watanzania wenye mapenzi ya kweli kwa Taifa letu, naandika maneno haya huku moyo wangu ukuwa mzito sana kutokana na mauaji ya kila siku yanayoendeshwa na chombo tulichokikabidhi ridhaa...
Wakuu,
Kwanza niwatakia ibada njema itayogusa Maisha yenu. Leo tupate neno la Mungu kutoka kwa Padre Mark Goring juu ya ulimwengu wa kiroho. Kama ulikuwa unataka kuhahirisha kwenda kanisani hebu...
Habar,tukio la kutekwa kwa MO huenda likawa limefanywa kwa ustadi mkubwa sana ili kuteka akili za wananchi lakini watekaji wakiwa kwenye maandalizi ya tukio moja kubwa na la kutisha game iwe ova...
Nimeisikiliza hii kauli ya IGP imeniachia maswali mengi bila majibu. Kama imefikia pahala mpaka tunafikiria ulinzi wa raia na mali zao kwa njia ya kuviziana basi tuna safari kubwa sana ya kuifikia...
Mahandaki au "bunker" ni sehemu maalum iliyochimbwa chini ya ardhi ambayo mtu au watu wanaweza kujisitiri wakati wa dharura au vita katika nchi.
Yapo mahandaki maalum yanayojengwa kiustadi na...
Aisee wanaJF Mzuka,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii kauli ama Maneno huumba ni ya hovyo sana katika lugha yetu nadhif. Nimiaka sasa nang'aka na kubwabwaja kila mara sometimes tena kwa jazba nataka...
Leo IGP Sirro wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kupatikana kwa Mo Dewji amewatuhumu watu ambao anasema wako bize kuwaingilia polisi na vyombo vingine vya usalama ktk shunguli zao...
Hua sielewi hili shirika mapato yake yanatokana na nini maana kila sehemu karibu yote ya dunia hua wana waandishi wake wa habari na watangazaji je kipato chao hadi kujiendeleza na kuwalipa hadi...
Kwanza tujipongeze kwa kusimama pamoja kumtaka mwenzetu na hatimae wenye mamlaka wamemuachia MO wetu.
Kumbe kelele zikipigwa nyingi zikakuelekea unajirekebisha!
Prof PLO Lumumba anasema kwamba...
Mnaweza mkaandaa programs zenye course mbali mbali hapa hapa jf. Mtu akajisajiri na kuchagua course maalum alafu mwisho wa siku anafanya maswali ambayo akifaulu, anapata chet. Akiamu kwenda...
MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA.
Wiki iliyopita niliandika kuhusu Asilimia kumi ambayo serikali za mitaa huwa wanaidai hasa...
Kwanza nipongeze juhudi za Mzee Baba kwa kulifufua hili shirika!
Pili,ushauri wangu ni kuwa kama inawezekana mufanye jambo la kitofauti kwa upande wa wahudumu wa ndege(air hostess).
Tumezoea...
Ivi aliyetoa ili agizo ama aliye pendekeza ili pendekezo la kuihamisha hii stendi ya kawe kutoka ukwamani kwenda pale msikitini ni nani
Mbona ni kama ule uamuzi uliofanywa wa kuihamisha ile...
Habari wakuu.
Chunguza mtaani kwako na watu wanaokuzunguka. Wanaounga unga maisha mtaani ( wasio na mshahara wala ajira rasmi) wanajipenda sana ; kulala, kula na kuvaa . Wewe na mimi tunawazia...
Kw aumri ulionao sasa ni kipi umejifunza hapa duniani?
Mimi nimejifunza machache.
1/Dunia tunapita yani tuna muda mfupi sana hapa duniani! Many have gone real but tunalala tunaamka kesho inakua...