Katika maisha usikae tu gizani huonekan na husikiki. Mnapoona watu wanagombania vyeo na kupata utajiri ni sababu wanatafuta ID katika maisha.
Sasa wewe baki umejikunyata kama kifaranga...
Kama inavyofahamika kuwa kuomba nakala ya hukumu ni haki ya mtu anayeiomba. Kuna Ndugu yangu aliomba nakala ya hukumu yake lakini alikuja kuipata baada ya muda mrefu kupita. Pili alipoipata hiyo...
Ndugu zangu Habari za muda huu....
Kama mada inavyojieleza ninaomba kuwasilisha kama ilivyo.
Wasomaji na wachangiaji wa 'thridi' hii wanatakiwa kujadili mada hii katika msingi wa MALENGO YA ELIMU...
Inakuwaje mmeweweka ukomo wa sh.elfu arobaini kwa siku ilihali gharama za matibabu zipo juu,naomba mfikilie mara mbili kama kweli lengo la mfuko huu ni kutusaidia watu wa hali ya chini,sasa kwa...
Natumai mu wazima!
Naitaji vijana wa kufanya nao kazi za recovery kwenye ushirika walioko kanda ya ziwa kama una miaka 25-40 na una elimu kuanzia form 6 mpk degree, na una uzoefu wa kufanya kazi...
WanajF Salaam
Si mara moja au mara mbili pengine tumewahi kukumbana na kadhia hii katika harakati zetu za kusaka maisha.
Wakati fulani,tumekuwa katika wakati mgumu wa kufanya maamuzi hasa pale...
Ile bilioni kuipata ilikuwa ni next to impossible. Bahati nzuri Mungu hamtupi mja wake, amekuja na dili la uhakika zaidi, hili halina longolongo.
Hizi sasa ndiyo zinaitwa hela.
Najiuliza sana kwamba huko alipo je kakalishwa chini, yaan kwenye zuria huku akimwagiwa maji usoni huku amefungwa kitambaa Na kutishiwa kusema??
Najiuliza kaka kwenye kiti anapigwa mijeledi ya...
Hii habari ya akina Deo Mwanyika na watumishi wengine wa Acacia Mining na wa Serikali kushtakiwa kwa makosa ya kuhujumu uchumi ni habari kubwa kuliko ambavyo imepokelewa na vyombo vya habari na...
Dear Jf members, poleni na majukumu. Tafadhali, naomba msaada namna ya kupata visa ya Australia. Nasikia hapa nchini hamna ubalozi na visa ni mpaka Afrika Kusini. Tafadhali yeyote anayefahamu...
Mnaweza mkashangaa lakini hakuna jipya chini ya jua.Kumekuwepo na tabia mbaya miongoni mwa watumishi wa kada mbalimbali hasa utapeli wa namna zozote.
Mimi leo ninahitaji mawazo juu ya hatua zipi...
Kwanza tujikumbushe Majina ya Wakuu wa Jeshi la Polisi tokea uhuru:
Elangwa N.Shaidi 1964 - 1970.
Hamza Azizi 1970 - 1973
Samwel H. Pundugu 1973 - 1975.
Philemon N. Mgaya 1975 - 1980...
Mwaka jana mwalimu Cindy Clifton mwenye umri wa miaka 41 alikabiliwa na kifungo cha muda mrefu jela kwa kosa la kuwanywesha pombe wanafunzi wake wa 11 wa kiume wenye umri kati ya miaka 14 na 17 na...
Mmelala usiku mkikoroma na kukumbatiana huku jeshi likiwalinda, alafu baadhi ya watu wanaanza kulikejeli.
Tuache maneno hiyo ,tujikite ktk kutoa taarifa za uhalifu ili jeshi lizifanyie kazi...
Sasa hivi kila biashara utayogusa utakuta Mo Dewji naye katia maguu...
Sasa sie wengine wenye vimitaji vidogo tufanye biashara gani? Jamani, mliokwisha tajirika tupeni nafasi na sie watoto wa...
Kutokana na lawama nyingi ambazo watu huzisema kwa waandishi Wa habari wetu kwamba: Baadhi yao huwa wanauliza maswali yasiyo na tija Pindi wanaPokutana na Viongozi mbalimbali;
Kwenye Press ya...