Naiomba familia ya" MO" kama itaona inafaa,itumie fedha hiyo kuisaidia ufungaji wa camera jijini,hii italisaidia jeshi la polisi kukabiliana na uhalifu,mchango huu utakumbukwa daima
Kufuatia mauaji ya kinyama dhidi ya watoto wadogo yaliyotokea Kata Kyamlaile kijiji Mashule Mkuu wa wilaya Bukoba Deodatus Kinawilo ameagiza Kamanda wa Polisi wa Wilaya kuwasaka waliohusika na...
Kwa muda wa mwaka mmoja sasa nimekuwa nikitumia huduma ya bima ya AAR mimi na familia yangu, hata hivyo katika kipindi hicho haswa hivi karibuni nimebaini mapungufu ya huduma hii ya AAR na...
Kila mwenye fani ambaye hana ajira ya serikali anafahamu ugumu wa kujiajiri kutokana na hali zetu duni kama watanzania.
Kumekuwepo na kasumba kwa viongozi ambao kwa kushindwa kutimiza wajibu wao...
Serikali naona sasa inaanza kutengeneza monopoly system kwenye baadhi ya mambo. Ukitizama suala la visumbusi kwa jicho la tatu unapata mfano hai ambao ni ngumu hata kukanusha juu ya hili.
1)...
Juzi niliona video footage moja kwenye mtandao wa voice of America mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirroanalalamika kwamba jeshi la polisi linaingiliwa na watu mpaka wanalielekeza namna ya...
Inawezekanaje mtu akuteke akae na wewe siku kadhaa. halafu anakupeleka mahali anakuachia na silaha ambazo zana zake za kazi Kisha aende zake hivi hivi tuu ???
Anakuachia usafiri, anakuachia...
Baada ya MO kupatikana maeneo ya Gymkana, hatimae pia gari inayosemekana kumteka nayo imepatikana ikiwa imetelekezwa maeneo hayo!
Ina namba tofauti na zile zilizoonyeshwa na kamanda!
Mnaojiita maboss/wakuu/kiongozi/ muache tabia ya kuwatenga madereva wenu hasa kwenye maswala yanayohusu kula mkiwa field/ kikazi sites.
Wakuu wengi wamekuwa na hii tabia ya kuwaacha madereva wao...
habari za weeked:
Pasipo kupoteza mda, Nasikitishwa na utaratibu wa kihuni unaofanywa na baadhi ya madiwani kwa kushilikiana na manispaa kuchonga barabara za mitaa nchi kwetu,
SABABU ZA KUWAKAMATA...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema ucheleweshwaji wa kutoa leseni za udereva nchini utaisha ndani ya miezi miwili ijayo kuanzia sasa baada ya mtambo wa kuchapa leseni hizo kuanza kufanya...
Matendo yamethibitika katika historia ya mwanadamu kuongea zaidi na kwa nguvu kuliko maneno.Hata hivyo, baadhi ya vitendo vya mwanadamu hubashiriwa hata kwa maneno. Ni kwamba wakati mwingine...
Usiku wa kuamkia leo majira ya saa sita kuelekea saa saba, nikiwa kwenye bus kutokea ubungo nikielekea Temeke, zilitupita Alteza kama kumi na Subaru kama nne kwa mwendo wa kasi ya ajabu na...
Habari wanajukwaa,
Mimi ni kijana mwenye elimu ya kawaida tu na ni raia mchakalikaji hapa nchini
kuna maswali nakuwa najiuliza nashindwa pata majibu hivi inakuwaje.?
1. Nini kazi ya wizara ya...
Kwa wale vijana wenzangu ambao mpo kwenye ajira haswa sekta binafsi .
kanuni mpya za nssf ni pasua kichwa, embu tujiulize
ni vijana wangapi watafkixha miaka 55 Ili waweze kuchukua mafao yao ...
Kiwanda kimekamatwa huko KAHAMA kikichakachua sukari Na ngano Na kuprint nembo mbalimbali za viwanda vya sukari.
Pia kuna shehena ya sukari Na ngano kwenye magodauni yao.
Mliopo huko KAHAMA...
Sitosahau niliwahi kuzimiwa na simu na mwenyej wangu mara ya kwanza naenda Mbeya.Ilibidi nikae kwenye kibaraza cha nyumba flan hv hadi asubuh.
Twambie kwako ilikuaje....??
Tunaofatilia siasa za nchi tunaelewa jinsi mitandao hii ya magwiji wa unga ilivo na nguvu na ilivyojikita Serikalini na kwenye taasisi kama vyama vya siasa na nyumba za ibada.
Tusemeni ukweli...