Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maharamia wa Nigeria wameiteka meli iliyokuwa na mabaharia wa Croatia, meli hiyo imetekwa leo asubuhi maeneo ya baharini ikitokea Nigeria kwenda hartcout Meli hii ilikuwa na mabaharia wengine...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Watanzania watanzania tunapendana kwa moyo wote, Kuna matukio taifa linaweza pitia mpaka ukashangaa yanatengenezwa au ni nini, na mengine uundiwa tume cha ajabu hakunaga majibu 1. Mtoto aligeuka...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa, Kuna aina ya wizi unaendelea mkoani Mwanza unaweza kuwa wa kitambo sana lakini umeshamiri katika wiki hii hivyo naomba muwe makini sana. Kuna kijana mmoja mtanashati tena...
31 Reactions
171 Replies
17K Views
Najua unajua ila nakujuza zaidi.... Maraisi wa Tatu wa East Africa, [emoji117]PAUL KAGAME [emoji117]UHURU KENYATTA [emoji117]JOHN P. MAGUFULI Hawa wote wamezaliwa mwezi mmoja...MWEZI HUU WA...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkazi wa Kijiji cha Isongole wilayani Ileje mkoani Songwe, Joseph Chomo (55) ameuawa kwa kupigwa na mkewe pamoja na watoto akidaiwa kuoa mke wa pili bila kuwashirikisha. Akizungumza na Mwananchi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba mwenye soft copy ya kitabu cha 'The adventure of I' by Tania Kotsos, anisaidie.natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Ni wakati sasa AZAM TV kutuweka sisi watumiaji wa ving'amuzi vyenu kama mnao mpango wowote wa kupata leseni ya kuonyesha local TV channels au ndio basi tena, tutafute ustaarabu mwingine? Bado...
4 Reactions
33 Replies
7K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es salaam linamshikilia Seif Abdallah Mohamed, mkazi wa Tuangoma Kigamboni jijini Dar es salaam, kwa tuhuma za kujifanya Katibu Mkuu Kiongozi wa Ikulu na...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Waingereza walitoa wazo kwa nchi nne za Africa Mashariki wakiwa katika harakati za kuzipa uhuru yaani nchi ya Zanzibar,Tanganyika,Kenya na Uganda kuwa ni vizuri wakatumia lugha ya Kiswahili kama...
0 Reactions
50 Replies
15K Views
Nimekuwa nikijiuliza hichi kitengo hakina washauri au ni jeuri tu waliyonayo ndio inawafanya wasibadilike?, Azam media baada ya kupoteza chanel za ndani na pia baada ya kutoonyesha taarifa za...
8 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa namna ya kipekee kabisa kutoka ndani ya mtima wangu napenda kuwa moyo na kuwapongeza watumishi wa sekta ya afya kwa kazi nzuri mnayofanya. Tunajua kuna changamoto nyingi mnapitia lakini...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Sisi madereva wa magari makubwa hususani malori tunanyanyasika sana barabarani imefikia hatua hata ya kuichukia serikali yetu inayoongozwa na mtukufu Rais Dkt. John Pombe Magufuli tunaimani sana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za mda huu! Naombeni ufafanuzi wa kitaalamu, mtu anapokonda zile nyama na uzito aliokuwa nao awali huwa vinakwenda wapi?? Kwa maana mtu akikonda akiamka kitandani hakuti nyama wala fupa...
5 Reactions
59 Replies
20K Views
Leo watu wameachishwa kazi kutokana na mazingira magumu ya wao kuendelea kuajiri, watu wanahitaji pesa zao ili waweze kufanya ustaarabu mwingine lakini mpo kimya na hela zao. Wapeni pesa zao...
0 Reactions
7 Replies
974 Views
Nawaona watu wanavyohangaikia maisha . . . Nawaona wana JF wanavyochangia mada mbalimbali . . . Naona jinsi heka heka za maisha zinavyoendelea . . . Na mengine mengi. Je, umewahi kujiuliza ni...
1 Reactions
57 Replies
38K Views
Kwa Nini Watu Wengi Hawatumii Akili Zao? “SHIDA yake ni nini? Hapaswi kufanya hivyo,” anasema mtu fulani. Mwingine anatikisa kichwa na kwenda zake huku akisema, “Kama angetumia akili yake kidogo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
NAHITAJI KUJIIINGIZA BIASHARA YA TAX BODA BODA NA BAJAAJ. MWENYE UZOOEFU NA HIZI BIAASHARA ANIPE CHANGAMOTO. NA JE HESABU NI BEI GANI KWA BODABODA. TAX NA BAJAJ HATA KIRIKUU.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
We teach our kids how to speak in tongues while they teach theirs to invent smart phones, cars"- Nigerian Lawyer writes on visit to South Korea We teach our kids how to speak in tongues while they...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Sina tabia ya kuamini katika miujiza ya wanyama , lakini natambua kwamba wapo wanaoamini miujiza hii , zipo taarifa kutoka Mkoani Ruvuma kwamba Kakakuona ameonekana na kwamba katika mavitu mengi...
6 Reactions
48 Replies
6K Views
Majibu tafadhali!........tuna biashara zetu huko zinaxotumia maji kama malighafi!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…