Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uyu jamaa tangia amekula uteuzi ktoka kwa magu amekuwa mkimya sana Je nini kimemkuta ama nini kinamfanya akae kimya maana wateule wenzie wako bize kusaka kick na majina kupitia vyombo vya habari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumepokea taarifa ya ajali mbaya ambayo imetokea leo muda wa magharibi katika eneo la Hanyegwamchana Chwaka ikihusisha Basi aina ya Double Coaster na daladala. Taarifa za awali zinaeleza kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niliongea hili nikilenga rika kubwa la vijana hasa wale ambao misingi ya imani Katika familia au jamii tulizokulia si mzuri Wengi wetu mara baada ya kuwa na Elimu ama ujuvi Fulani wa Elimu ya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari gani! Naomba kwa mtu ambaye anafahamu kinapopatikana hiki kitabu cha sheria za hapa nchini, ili tuweze kujisomea wenyewe tuzijue sheria zote za nchi. Na hata kama kinaweza kupatikana...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Watu wanne akiwemo dereva wamefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Coaster kugongana uso kwa uso na gari la mizigo aina ya Scania katika eneo la Chamakwega kijiji cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JOSEPH HIZA NA MTANDAO KWA wasomaji wengi watakuwa wamekisikia Kisiwa hiki cha Migingo chenye msongamano mkubwa wa vibanda na watu kuliko vyote duniani. Kinafahamika pia kama Bugingo au Ugingo...
15 Reactions
55 Replies
17K Views
Habari ya jumapili wana jamii... Hivi idadi ya watu waliokwisha kufa tokea mwanzo wa dunia mpaka sasa na idadi ya watu walio hai ipi idadi kubwa?? Kwa sasa makafidirio tupo kama billion 5 kama...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari JF, Kwa anayejua Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ndugu Ally Hapi kamfanya nini Daktari Bingwa atusaidie.
4 Reactions
86 Replies
15K Views
Hongera sana kwa idara ya elimu mkoa wa Singida kwa kuwafanikisha watoto wa shule za msingi mkoani hapo kwa kuwafanya wafanye vizuri mitihani yao ya darasa la saba kwa mwaka 2018 kwa kutoka nafasi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo sasa kwamba Mtu anayependa Kulia tena kwa Kutokwa na Machozi kabisa anakuwa amefanya Jambo jema na la Kiafya kabisa Mwilini mwake kwani kwa Kitendo chake hicho...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nasoma kitabu cha Yoshua bin Sira (biblia )… ...22:7-11 7 Amfundishaye mpumbavu ni kama anayeunga vigae, ni kama anayeamsha mtu aliyelala usingizi mzito. 8 Anayeongea na mpumbavu anaongea na...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini za jumapili ndugu zangu? Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na maisha ya kila siku. Tafadhali naomba nichukue muda wenu kidogo kuwaeleza shida niliyonayo kama mtanzania mwenzenu...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini wakuu. Hivi viwanda vinavyotakiwa kujengwa taratibu za viwanda hivyo kwa sehemu husika. Zinafuatiliwa na kiongozi gani ? No mkuu wa mkoa, au mkuu wa wilaya katika kuwaleta wawekezaji...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Ni kawaida sana kumsikia mtu akisema "kwetu hiki si chakula ni uchafu" au akiuliza, "kwa nini unakula hiki? hiki siyo chakula." N.k Fikiria watu wawili wa utamaduni tofauti wanapokutana huku kila...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Alipata kupigwa PI mwaka 1994 MENGI yameandikwa na kusemwa juu ya sakata ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ikiwahusisha watu mbalimbali na upotevu/uporaji wa zaidi ya shilingi bilioni 133 kutoka...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Leo katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku nimemuona mshikaji aki report kutoka TBC1 Mshikaji sasa kapotea wazi wazi.
7 Reactions
312 Replies
63K Views
Hao ni baadhi ya maofisa jana baada ya hekalu la waisraeli kuvamiwa na baadhi ya waamini kuuwawa wakiwa ktk ibada ya kumpa toto jina kwa mujibu wa imani yao ya kiyahudi. Operation zao huwa ziko...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mashkoro Mageni... [emoji16][emoji16] aisee hawa wazungu wanatuchezesha kama Game la nyoka. Wayback nakumbuka, Tulikuwa invited pahala kuweza kushiriki dinner. Basi maakuli yakaandaliwa ila mezani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamn Nina kuku wangu niliwakawiza kuwapa chanjo ya Newcastle na sasa wameshakua be affect nifanyeje
0 Reactions
43 Replies
4K Views
aisee chini ya huu utawala wa awamu ya tano kuna watu wanapata tabu sana yani kama uyu daktari mkuu wa iringa
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…