Kitabu cha Sheria za Tanzania.

Kitabu cha Sheria za Tanzania.

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,171
Wakuu habari gani!
Naomba kwa mtu ambaye anafahamu kinapopatikana hiki kitabu cha sheria za hapa nchini, ili tuweze kujisomea wenyewe tuzijue sheria zote za nchi. Na hata kama kinaweza kupatikana kama soft copy tuweze kushare. AMA la kinauzwa wapi na ni bei gani. Kama kuna mawasiliano pia nitashukuru.
 
Sidhani kama kuna hicho kitabu...
Sheria za nchi hii ni nyingi sana kiasi kwamba kama zingekuwa ziko compiled kwenye kitabu basi lingekuwa bonge moja la kitabu ambalo kulisoma ingekuchukua muda mrefu sana.

Sheria zimepangwa kwa sura, kuanzia ya kwanza mpaka mia 4 na kadhaa huko, hizi ni zile zilifanyiwa mapitio 2002. Then zipo za kuanzia 2002 hadi leo ambazo ni mamia.

Pia kusoma sheria na kuielewa si kazi rahisi unless uwe na uelewa kidogo wa sheria. Au labda kila sheria itafsiriwe kwa lugha nyepesi itakayomfanya mtu wa kawaida aelewe.
 
Jisomee tu hata penal code. Mimi sio mwanasheria ila napenda kujisomea kama baadhi zinazonihusu.
Kama law of contract act.
Institution and labour relation act.
Sheria ya kodi.
Bila kusahau mama Lao (Katiba ya JMT?)
 
Back
Top Bottom