Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) yakanusha taarifa ya kutoza Tzs 15,000 kwa watumiaji wa Whatsapp

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
753
3,096
Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), inapenda kuufahamisha Umma kuwa, taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zikidai kwamba Mtanzania yeyote anayetumia whatsapp atatakiwa kulipia shilingi 15,000/= kuanzia tarehe 10 mwezi huu ni za uongo.

index.jpg

 
Nina mashaka na udukuzi wa taarifa yako isiyo na chanzo chaupataj hiyo taarifa
 
Back
Top Bottom