Leo katika kumbukumbu zangu za utoto mwezi kama huu mwaka 1995 nikiwa mkoani njombe wakati huo nilikuwa na umri wa mia 14yrs.
Tukiwa machungaji mimi na jamaa zangu tulijilipua kupeleka ng'ombe eneo la mzungu ambalo lilikuwa maalumu kwaajiri ya ng'ombe wake wakisasa wa maziwa huyo mzungu alikuwa anafundisha secondary sasa sijui ilikuaje alipewa mlima mzima autumie yeye tu eti ng'ombe wetu wana magonjwa tutaambukiza mifugo yake aliweka zaidi ya walinzi 30 kuzuia mifugo isiende kule sasa mimi na jamaa zangu tukiwa na dada mmoja yeye alikuwa mkubwa kidgo kwetu tuliamua kupeleka mifugo huko kutokana na uhaba wa malisho tuliingia karbu katikakati ya ule mlima wakati ng'ombe wakiendelea kula sisi tukawa tukawa tunaoga maana kulikuwa na bwawa kubwa sana tuliweka nguo zetu sehem moja tukaanza kuoga kumbuka ni pori mbaka ufike kijijini ni zaidi ya km 10 sasa tukiwa busy na kuoga kumbe yule mzungu alikuwa anapenda kutalii akiwa na mbwa wake hawa sherpad alikuja kimya kimya nashangaa hata mbwa wake sijui kwanini hakubweka licha ya eneo lile kujaa ng'ombe na mbuzi jamaa tulishituka jamaa anasema namnukuu.
" Aaaa njooooni hapa" kutokana na uoga kumuona mzungu tulitoka speed upande wa pili wa bwawa kumbuka yeye ameshika chain ya mbwa mkononi tulitokomea porini tukiwa uchi wa mnyama kama dk 40 tukamuona huyo mzungu anaondoka zake tukarudi faster tuchukue mifugo tukimbie lile eneo tulitahamaki kumbe jamaa alikusanya nguo zetu.zote akaondoka nazo tukawa hatuna namna zaidi ya kurudi nyumbani tukiwa uchi wa mnyama mbaka nyumbani wanakijiji walimfuata na mapanga na kupiga beat aliomba msamaa maisha yakaendelea huwa nikikumbuka nacheka sana.dondosha kama na ww unakumbukumbu mbaya au nzuri tushee.