Ushauri Bima ya Afya

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,122
Habari wadau,

Naomba ushauri juu ya kampuni nzuri ya kujiunga na bima ya afya kwa mtu binafsi. Uwezo wangu wa kulipia ni 1,000,000 kwa mwaka. Iwe ya Baba, Mama na watoto watatu.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom