Naomba kutoa ufafanuzi

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,192
Kuna picha imeleta shida sana kwa kusambazwa mtandaoni .na mtu anakutumia alafu anakwambia zoom. Ukiangalia unaweza kusema kuna kitu kilikuwa kinaendelea.

Picha namba Moja ukiangalia uwezi jua nini kilikuwa kinaendelea kulee upande wa pili


Picha namba mbili ,huo ndio ufafanuzi wa picha namba moja ya kilichokuwa kinaendelea.

Asanteni
IMG-20181031-WA0013.jpeg
IMG-20181031-WA0029.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20181031-WA0013.jpeg
    IMG-20181031-WA0013.jpeg
    113.9 KB · Views: 13
Back
Top Bottom