AFRIKA: TUNAPOKOSEA NI WAPI

AFRIKA: TUNAPOKOSEA NI WAPI

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,767
Reaction score
21,869
Alpha (IMDb 7)
Ni muvi iliyotoka rasmi mwezi August mwaka huu, ni muvi iliyo katika category ya historical adventure, ni muvi yenye idea ndogo sana wala haihitaji uwe graduate ili kupata idea ile, ni muvi ambayo kimsingi ilipaswa iigizwe Africa na watu weusi lkn naona wenzetu wameshatuchoka sababu mara nyingi mtu mweusi akiwekwa kwenye nafasi inayokaribiana na uhalisia basi tafsiri inayotoka ni kwamba tunafanyiwa racism, kwa hiyo wameamua kuigiza whites tuu.
Lakini swali la kujiuliza hapa ni wapi Waafrika tunakosea haswa kias kwamba ideas ndogondogo kama hizi tunashindwa kuzitumia na kutengeneza muvi zitakazotuingizia kipato? Kama mambo ya sci-fi tumeshindwa kweli hata hizi muvi za mbugani tunashindwa?



1.png
2.png
3.png
4.png
 
Back
Top Bottom