habari wadau..
najua wale wapenzi wa news wanajua seke seke la mwandishi kashogi aliyeuwawa kwenye ubalozi wa saudi arabia uliopo uturuki..
wauaji wote 15 ni wafanyakazi wa usalama wa taifa wa...
Biblia na Korani ni vitabu vitakatifu lakini wakati mwingine ni chanzo cha chuki, mifarakano na machafuko duniani kote.
Mmesikia yaliyotokea Pakistan wiki hii ambapo kuachiwa huru kwa Asia Bibi...
Time is coming when being gay will be considered classy and trendy and fashionable.
With the current publicity and approach that time will be soon and believe me you.Some straight people will be...
Wadau kumekuwa na ucheleweshwaji mkubwa sana Wa huduma za umeme kwa wateja kuliko maelezo.
Unalipa umeme tangu mwezi 5
Majibu unayopewa ukienda ofisini hayaridhishi kabisa. Leo mwezi Wa 9.
Hawana...
SABABU YA KUKATIKA KWA UMEME SIKU YA JUMAMOSI AGOSTI 29, 2015 KWA JIJI LA DAR ES SALAAM NA BAADHI YA MIKOA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi juu ya kukatika kwa...
TAARIFA YA HITILAFU ZA UMEME ZILIZOSABABISHWA NA MVUA ZILIZONYESHA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM TAREHE 5 NOVEMBA 2015
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa taarifa kwamba maeneo...
Wakuu Ukifuatilia twitter wengi wanamtweet Dr Kigwangara akifanyiwa matambiko anatuhaminisha eti ile ni dua inayokubaliwa na waislamu, hii imekaaje? Wale waislamu mkuje mtweleze. [emoji12]...
Nakumbuka mara ya kwanza kuja Dar 2000 nilikuja na Gari la msiba wa jirani yangu ambae alifariki Dar na kuletwa mkoani.
Sasa siku Gari inarudi kwa Dar nilichonga na Dereva akanisaidia tena kwa...
Habari wadau wana JF?
Kwa wale mlioko mwanza naomba kujuzwa kuna lodges gani nzuri maeneo ya Buhongwa?
Kama zipo, basi naomba contacts pia.
Natanguliza shukrani.
Nipo arusha nimesomea mambo ya Kilimo na mifugo, natafuta kazi yeyote inahusiana na career yangu kwa hapa Arusha hata kwa kujitolea nipo tayari ili tu nisipoteze ujuzi wangu, 0689870101.
Mara mbili mfululizo mmehudhuria press za ZITTO ametamka mambo ya ajabu kwa maslahi ya taifa mmeshindwa kumuhoji uwezekano wa kutokea kwa matukio hayo na ukweli alionao Zitto. :-
(1) Nilimwambia...
Zaidi ya watumiaji wa simu za kiganjani 4,340 wamefungiwa kupata huduma ya mawasiliano baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kubaini simu zao ni za wizi na nyingine zimenunuliwa katika...
Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini?
Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo.
Mimi kwa...
Kuna mtu huwa kila mara ananitokea katika Ndoto
Huwa ananikatisha pale ambapo ninaongea na watu kuhusu mipango yangu.Huwa ananinyamazisha kwa ukali na kuniambia watu sio wema.
Mara nyingi...
Nimesafiri na basi juzi tokea kahama kuja dar.
Cha kushangaza ni kuwa askari wa usalama barabarani stand kahama walikuwa wakitumia baadhi ya mabasi kuondoka ati kuwa madereva wake walikuwa...
Mkurugenzi wa Elimu kwa mlipa kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Richard Kayombo akionesha kwa waandishi wa Habari leo Jijini Dar es salaam moja ya CD zilizokamatwa wakati wa msako wa...
Wakili wa kujitegemea Hekima Mwasipu amewasilisha maombi mahakamani ya kumfungulia mashitaka binafsi msanii Amber Ruth kufuatia video zilizosambaa zikimwonesha akijamiiana against the order of...