Hahaha kazi ya sanaa hii
Karibu, kesho nitaweka sehemu ya pili.
Nasubiri
okay shukranIpo fb. Join link uendelee kuisoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka unambie wakurya walikuwepo miaka 1400 kabla kristo?? Au ndo sanaa yenyewe
Halafu walikuwa wameendelea kweli. Yaani walivaa suruali na mashati ya pamba. Mwaka 1962 nilipokuwa huko, mavazi yao yalikuwa ni blanketi iliyofungwa vizuri kama lubega za Wamasai. Waliokuwa wanatakae suruali na mashati ni wa kuhesabu.Unataka unambie wakurya walikuwepo miaka 1400 kabla kristo?? Au ndo sanaa yenyewe