Mara mbili mfululizo mmehudhuria press za ZITTO ametamka mambo ya ajabu kwa maslahi ya taifa mmeshindwa kumuhoji uwezekano wa kutokea kwa matukio hayo na ukweli alionao Zitto. :-
(1) Nilimwambia IGP amrudishe MO na kweli akafanya ivo. Hivi kweli waandishi hamkuwa na maswali kwa Zitto juu ya uelewa wake ktk sakata hili?
(2) Polisi wameua zaidi ya watu 100 Kigoma.
Napo kweli waandishi hamkuona lolote la kuhoji toka kwa Zitto?. Ni kweli watu 100 wanaweza kufa kinyama porini wasinuke, mizoga kutapakanywa ovyo na mafisi au hata walipo ndugu wa marehemu hao kusikia vilio vya wapendwa wao?. Tumeshindwa hata kuuliza lilipo kaburi la pamoja la marehemu hao?
Udhaifu huu wa waandishi wetu kushindwa kutumia majukwaa yao kitaaluma ndio umemsababishia Zitto kuingia matatani na dola sbb alishajua uwezo wao mdogo wa kutafakari mambo ivo chochote atakachowalisha alijua watameza bila ya hata kutafuna.
Madhara yake ni kwamba Zitto alijua anendelea ku deal na kundi lake alilozoea kulitawala na kujisahau kuangalia mipaka yake. Sasa yuko central atadai anaonewa.
Ni wakati muafaka sasa kwa serikali kuweka vigezo maalum vya kuwapata waandishi habari wenye weledi, uelewa na uzalendo kwa Taifa lao. Hata wamiliki wa blogs nao pia serikali ihakikishe wanapata mafunzo mahususi ya uana habari kwa maslahi mapana ya usalama wa Taifa.