Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
Wadau kumekuwa na ucheleweshwaji mkubwa sana Wa huduma za umeme kwa wateja kuliko maelezo.
Unalipa umeme tangu mwezi 5
Majibu unayopewa ukienda ofisini hayaridhishi kabisa. Leo mwezi Wa 9.
Hawana customer care nzuri,
Mpaka sasa hakieleweki. Kuna sehemu nguzo zimechomekwa wiki ya Pili sasa hakuna kinachoeleweka. Unafuatilia mpaka unafika mahali unakata tamaa.
Tunahitaji mbadilike ili kuendana na speeeed ya awamu ya 5
Ya hapa kazi tu.
Nini tatizo hasa?