Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM anazungumza na Waandishi wa Habari Nitawapa updste ya kinachojili UPDATES => Jeshi la Polisi limeendelea na Oparesheni mbalimbali ya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Truth shall set you free! Ni kitu kisichowezekana kwa mtu mmoja kushindana na mamilioni ya watu waliomzunguka kila kona. Katika hali halisi huo ni uonevu na unyanyasaji mkubwa wa kibinadamu na ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Usiku wa kuamkia leo kuna ndoto nimeota baada ya kushituka imenichukua saa nzima mpaka kurudia usingizi tena na nimeitafakari sikuwa na jibu, Nimeoteshwa niko sehemu nisiyoifahamu niko na...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Pamoja na maboresho ya sheria iliyo pita hivi karibuni, lkn mfuko huu bado una dhima ya kuwakomboa wanachama wake Kwa kutoa mikopo ya fedha taslim ya kufanyia biashara n.k ili waweze kujikomboa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI ipo katika hatua ya mwisho kuruhusu bucha za wanyamapori nchini na kutoa siku 30 kwa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) kuwasilisha taarifa ya kitaalamu ya utekelezaji wa...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza tunamshikilia mwanamke mmoja aitwaye RAHEL MATALAKA, miaka 41, mkazi wa kijiji cha lugenge, kwa tuhuma za kumpiga hadi kumuua mtoto wake wa kiume aitwaye MALIATABU...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na sio kupambana na athari tupambane na dalili mfano je kwenye mashule hasa ya boarding ya single sex hivi vitendo vipo ?au havipo na je kuna dalili ya kuwepo ,tupambane navyo mapema kama vipo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jana niliomba gari kwa jamaa angu kuna mishe nilikua nafuatilia nje kidogo ya mji sasa toka mjini hadi ukute kibao cha kuruhusu kutembea zaidi ya 50 ni kama 20+km na kote nilitembea kama sheria za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi) kesho inaanza rasmi kutoa matibabu ya kuondoa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo (Celebral aneurysm) matibabu ambayo hapo awali wagonjwa walikwenda nje ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa nafuatilia baadhi yaliyojiri kwenye mitandao ya kijamii, nimevutiwa na moja la YouTube kuhusu miaka 3 ya utawala wa Magufuli. Lililonivutia ni hilo la somo hapo juu. Msemaji mmoja...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi karibuni kuna malori makubwa ya mchanga na excavators zilizoingizwa mtoni kupitia kawe (karibu na kanisa la wasabato) na kuendelea kuchimba mchanga kwenye eneo mbele kidogo ya daraja la...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Tumeshuhudia viongozi wa kisiasa wanapohudhuria ibada haswa makanisani, kama waumini wengine, wakipewa fursa ya kuongea mambo yao ya kisiasa ndani ya nyumba hizo haswa makanisa. Tulianza kumuona...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mmojawapo wa Wastaafu ninayepata Pensheni yangu kutoka HAZINA. Kila mwezi ninapata mafao yangu kuanzia tarehe 28 mpaka tarehe 1 mwezi unaofuata. Mpaka leo licha ya kwenda Benki...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wananchi wa kidabaga Kilolo Mkoani Iringa wakipata Lift katika Gari la Mbunge wao Venance Mwamoto baada ya wananchi hao kuchelewa basi wakitokea msibani. Uwezo wa Gari hilo ni Abiria Nane pamoja...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Mafanikio ya Mwanadamu huwa yanatokana na nyota yake aliyozaliwa nayo; na nyota inatokana na kizazi chake kama ni cha baraka ama cha laana. Nyota ya mwanadamu huwa ni kudra ya mwenyezi Mungu...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
...nilizaliwa na ndugu watatu. Baada ya baba yangu kurudi kwao nilibaki na mama. Siku moja mama alisafiri nje akatuacha kwa mamdogo mlezi pale Boma ng'ombe. Yule bi mkola alikuwa na upendo usoni...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Yani akija waziri anahojiwa maswali ya kikawaida sana lakini akija wa ccm anabanwa na maswali. Haya shauri yako kipindi kinapoteza mvuto.
4 Reactions
73 Replies
12K Views
Haya matangazo ya kujipa matumaini mi sifa yataisha lini kwa hizi Team zetu za taifa na vilabu vya simba na yanga Jana naangalia azam tv mpaka Al manusura nivunje tv kwa upumbavu niliokua nauona...
1 Reactions
3 Replies
905 Views
Mkuu wa mkoa wa Geita ameiagiza halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) kuchunguza na kuwachukulia hatua mkandarasi aliyejenga na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Taasisi ya watetezi wa haki za binadamu Tanzania, THRDC imeuomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kumrudisha mara moja masomoni Mwanafunzi wa chuo hicho ambaye pia ni Mwenyekiti wa...
3 Reactions
109 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…