tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,124
Wafanya kazi wanaisoma namba weeee!!!
No kupandishwa vyeo no kuongezwa mishahara!!
Waliosoma waje kuajiliwa wanaisoma balaaa!! Soma namba weeee!!
Baada ya uhakiki wa wafanya kaz hewa tutaenda vyeti feki baadaye tutahamia kwa watanzania na wageni hata kama una cheti halisi au wewe sio hewa ukiwa mkenya tu ni kusoma namba!!
Ajira haichagui ccm wala ukawa!! Soma namba weee!!
Wanafunzi tunabagua wakupewa mikopo!!
Tunaongeza ufauru!! Ni kusoma namba mbele kwa mbele. Hela tunatoa robo robo hata za field. Ni kusoma namba tuuuu!!
Wafanya biashara pesa hakuna mtaan bidhaa unajiuzia mwenyewe!! Soma namba weeee!!
Viwanda binafs wanapunguza wafanya kaz,
Maana uchumi umeyumba ,uzalishaji hauendani na mapato!! Soma namba weeee!!
Waliopata maafa wakitegemea kupata misaaada iliochangwa wanasomq namba. Yaan kwao wimbo umenoga hatari!! Tunajenga shule mtajijuuu somen namba tuuuuu!!
Et tuko kwenye mpito, uchaguz uliopita ulikua gelesha tu bali yalikua ni mapinduz ya kimya kimya!!
Hii ndio sera za serikali ya mapinduz ya tanzania. So tutaisoma namba balaaaaa!!
Wacha tuisome namba weee!! Ccm ni nambali one kusomesha namba hizi watanzania, bahat mbaya haijabagua!!! Wacha tuisome namba wee!!
Hata wa kwenye benchi badala ya buku 7 sasa ni buku jero!!!
Wote tunaisoma namba weeeeeeeee!!