Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
*TAHADHARI KWA ABIRIA WAISHIO _DAR ES SALAAM_*
Ikifika jioni maeneo ya *Mnazi Mmoja* kwa sababu ya shida ya usafiri wa kutoka katikati ya jiji kwenda maeneo mbalimbali pembezoni mwa mji, kuna wapiga debe hutangaza usafiri kwa nauli ya shs *Elfu Mbili*, kwenye moja ya *Magari Madogo na Noah*. Hususani maeneo ya karibu na *Benki ya CRDB Tawi la Lumumba*.
Majuzi jamaa Mmoja alipanda hizo gari akiwa na wenzake ikidaiwa inaelekea *Gongo la Mboto*. Matokeo yake walitekwa na watu wenye silaha ambao awali walijifanya nao ni wasafiri na kuporwa kila kitu baada ya kupelekwa Pugu Mnadani Wakasachiwa huku wakitishiwa kupigwa risasi na kuchinjwa kwa visu walivyokuwa wamebeba.
*"Ukiweza wajulishe wengine ili wapande usafiri huo kwa tahadhari au wakiweza waachane nao"*
chanzo._COPIED_