Kuwa makini unapopokea chenji kwa konda wa daladala

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,872
Leo nilipanda daladala sehemu ya kulipa sh mia nne hata kutembea ningeweza sema tu uvivu na jua kali. Nikampa konda sh elf kumi akanipa chenji yangu vizuri tu mi sikuangalia nikatupia tu kwa pochi.

Nimeenda mahali kula natoa hela yaani hazifai zina magundi kila mahali japo ni mpya nyingine nadhani ni bandia hazieleweki.
 
Leo nilipanda daladala sehemu ya kulipa sh mia nne hata kutembea ningeweza sema tu uvivu na jua kali.

Nikampa konda sh elf kumi akanipa chenji yangu vizuri tu mi sikuangalia nikatupia tu kwa pochi.

Nimeenda mahali kula natoa hela yaani hazifai zina magundi kila mahali japo ni mpya nyingine nadhani ni bandia hazieleweki .
Kwanza wee sistaa umeshaonyesha wewe ni mvivu!!yaani sehemu ya kutembea wewe umepanda daladala!!haya sasa hayo ni matunda ya uvivu wako! Wala sikuambii pole!!
 
Pole sana! huwa siku hazilingani kuna siku mwili unakuwa ovyo japo huumwi. Nakushauri uende kwenye banki iliyo karibu nawe ili waangalie kama hizo pesa ni halali au bandia!
 
Hongera humeanzisha uz kwaea hio humeongeza idadi ya post zako huwe makini siku ingine
 
Ni hatari sana Noti mpya ikamfikia muuza mkaa.
Afadhali na makonda angalau wanazinyoosha vizuri mikononi mwao.
 
Leo nilipanda daladala sehemu ya kulipa sh mia nne hata kutembea ningeweza sema tu uvivu na jua kali. Nikampa konda sh elf kumi akanipa chenji yangu vizuri tu mi sikuangalia nikatupia tu kwa pochi.

Nimeenda mahali kula natoa hela yaani hazifai zina magundi kila mahali japo ni mpya nyingine nadhani ni bandia hazieleweki.
sasa mambo gan haya beibe? Si ungenipigia simu tu nije nikupick na V8 yangu. Ona sasa. Yani nimeumia sana beibe.

Ila pole sana. Naomba uzichanechane hizo noti na uzichome halaf uje uchukue nyingi mpya kwa mashart nafuu.
 
acha tu yaani na ndo budget yangu ya kula week ndo maana napenda lift
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom