Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu, niwapongeze tu kwa majukum ya kila siku Lakini pia niwapongeze kwa uvumilivu wa kuishi Tanzania. Naomba niende kwenye maada husika, hapa JF kumekuwa na Nyuzi nyingi sana za...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Huwezi kumzania ila ni bonge la msanii huyu sister anaimba kiukweli, Ninachompendea ni kwamba ngoma zake zote ziko simple tu kuanzia audio mpaka video lakini ni noma ukizisikia Mbele ni mbele tu...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nimekuwa nikipita pita sana huko uswahilini,kuna tabia imeibuka utawakuta wamama wapo kando ya mabomba yalopasuka wakiteka maji katika vidimbwi Kisa tu hawawezi kununua ndoo moja ya maji ndogo...
2 Reactions
3 Replies
955 Views
toka hili sakata la ushoga lianze kumekuwa kukiibuliwa madai kadhaa kila wakati kwa watu flani kutajwa kuhusika na tabia hiyo. kiasi flani haya mambo nayo yanaweza kuleta maswali maana waswahili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi...
41 Reactions
125 Replies
15K Views
Mhe. Frederik Sumaye amefiwa na mama yake mzazi leo mchana saa saba huko Endasaki mkoa wa Manyara nyumbani kwake. Mungu ailaze roho ya mama yetu mahala pema peponi. Amen ----------- Chama cha...
5 Reactions
46 Replies
11K Views
Habari wanajamvi Naomba kuuliza,hivi ujenzi wa barabara ya lami Mhongolo umefikia wapi?imekuwa kero kilometer 03 zinajengwa mwaka mzima?Vifusi vimewekwa barabarani bila kusambazwa...TANROAD MKOA...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeshuhudia watumishi wengi wa umma wanachama wa CCM wakivaa sare za CCM na kupost picha hizo kwenye mitandao ya kijamii. SWALI: Hivi watumishi wa umma wanachama wa CHADEMA, CUF, ACT wanaweza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani kuna Rehabilitation place kwa mashoga!? Sijui Makonda akiwakamata atawapeleka wapi, au anawataka kuwakamata ili afanye nao nini kama hakuna solution ya kuwasaidia kuacha. Maana hata kutumia...
1 Reactions
12 Replies
771 Views
Mtu alieamua kuishi maisha yake leo anakwenda kula chakula cha JMT bure jela. Hiyo pesa ingenunulia Magunia ya mchele na maharage kwenye nyumba za kulelea watoto yatima. Nani asiyejua wali...
34 Reactions
199 Replies
14K Views
Kwenye maisha kuna mambo ya ajabu sana kuna watu wema kabisa na mbinguni wataenda ila kwa mifumo na namna fulani fulani ya maisha watu hao wanashindwa kujidisconect na shetani maisha ni ya ajabu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
SIMANJIRO WAANZA MIKAKATI YA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA Wilaya ya Simanjiro imeanza mikakati kuweka mikakati motomoto ya ujenzi Wa hospitali ya wilaya kuitikia agizo ma serikali la kujenga...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Veronika Kesi ametoa amri ya kupewa adhabu ya kuchapwa viboko kwa vijana au mtu yeyote atakaye onekana kuvaa mavazi yasiyo na staha katika jamii ya wakazi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Nipo hapa maeneo ya buza kwa mama kibonge, habari ni kwamba jamaa mmoja ambae hajafahamika jina lake wala la mpenzi wake, amemchoma kisu mpenzi wake hadi kufa. Jamaa baada ya kumchoma mpenzi wake...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo ni siku karibu ya pili,internet ya halotel ipo inasumbua tu Kama kuna tatizo ni vyema mkawaeleza wateja wenu na sio kukaa kimya
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakati yeye siyo Mwanamke, na wala hana genes za kike, iweje ajifanye Mwanamke? Kwa nini asiwe tu na tabia yake ya ki-gay ya kipekee, kwanini ili awe gay ni lazima ajifanye Mwanamke?
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Salaam wana JF Naomba msaada wa kujua nini vinahitajika kurudisha/kurenew kitambulisho cha taifa Mimi ni mkazi wa Dar Wilaya ya Ubungo Nianzie wapi na natakiwa kumuona nani nikiwa na nini...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
My dear jamiiforums coleagues i am leaving in a house where my father is championing all evils all misfortunes in our family my father is a source stealing abducting killing all satanic deeds...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Wasalamu wanaJF wenzangu Ilikuwa mwaka 2015 mwezi 9 baada ya kupata likizo ya kimasomo nikaamua kurudi nyumbani kupumzika na kuwasalimia ndugu jamaa na marafiki! Kwa kawaida ninapokuwa nyumbani...
10 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…