Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wana jf,naomba niwape taarifa kampuni ya maji safi dawasco kwamba kuna bomba lao limepasuka hapa nyerere road opposite na kampuni ya sigara karibu na ofisi ya UBA linamwaga maji mengi...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Hi ladies & gentlemen! Hii fedha ina majina mengi sana, hii inatokana na umuhimu wake. Mtu kama hana fedha hata ya kununulia sahani ya ugali utamjua tu, anakuwa mnyonge, au wakati mwingine huwa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi salaam kwenu. Nimetafakari sana tangu siku wasomi wenu walipodai mtu wakwanza aliishi hapa bongo land, nikawaza ilipo bustan hii tunayoambiwa waliishi Adam na Hawa. Kisha...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Wazee wa come back leo watafanya kufuru pale etihad
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna rafiki kanizoea juzi juzi tu aisee tukikutana ananipa stori zaidi ya kumi akidandia stori hii akimtaja mtu basi naye huyo mtu atanipa stori yake na anapoishi,sasa hapo anapoishi ataanza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sasa naanza kupata mwanga jana usiku niliachia uzi humu nikisema tokea Dewji aachiwe na mateka ameachia post 6 kwenye mtandao wake wa fb na 5 kati ya hizo ni kuhusiana na mambo ya dini...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwenye korosho kulikuwa na wapiga hela zile za service levy ndio hao wana makampuni ya kununua korosho wakawa wanazitumia hizo hizo kununulia korosho kwa wakulima. Kwanini haya makampuni...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna jamaa kanisingizia eti nimemuibia na kudai kuwa usiku aliniona kwa mbali nkikimbia na mali yake. Pia mtu huyu katoa maelezo yanayotafautiana zaidi ya mara 3. Akidai alishuhudia mali yake...
2 Reactions
28 Replies
9K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote. Mimi mdogo wenu nipo mzima wa afya kabisa. Kama vyuo vikuu vinaweza kutengua Academic Awards Kama PhD, kwanini Serikali kupitia Wizara ya sanaa na kamati ya Miss...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu Ombi liende kwa mahakama waweze kuamuru vipimo vya madawa ya kulevya hasa cocaine kwa msanii Amber Rutty inaonekana kwa macho na tathimini ya kawaida kuwa anatumia cocaine...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Umeweka wimbo Kinywani mwangu Bwana niiiimbe Sifa zaaako Umeniumba Ilinikuabudu Nakwabudu Nakwabudu Wewe uketie juu Ya vyote Sifa hizi Zifike kitini mwako Wimbo huu ukawe manukato Wewe uketie juu...
4 Reactions
12 Replies
13K Views
Mfuko wa bima ya afya wa Taifa,siku za hivi karbuni ulijinasibu kuwa uko tayar kuwakatia bima ya afya wanachi ambao walikuwa wameungana kupitia vyama vya ushirika. Pamoja na kujinassbu huko,habar...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Toka tukio la kusikitisha la kupotea/kutekwa kwa kipenzi cha wana-simba na raia wa kawaida wa Bongo kutokea, wengi wakiwemo hasa kina Zitto, @tundulissu, viongozi wengineo, mashabiki na wanachama...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kabla ya yote nisisitize watanzania tuko kwenye RIGHT HEAVY TRUCK safari yetu kuitafuta misitu ya Kongo kwa watu wasiojulikana Baada ya korosho kununuliwa na kuanza kusombwa na karandinga za...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Tuna jeshi letu imara lenye intelijensia makini, limeweza kudumisha amani(kama sio utulivu) katika nchi yetu kwa muda mrefu hadi sasa. Lakini intelijensia hii linapofika suala la wale...
1 Reactions
4 Replies
830 Views
mnadai kwamba tutakosa misaada tukiupinga ushoga.sio kweli,hata wazungu wote sio mashoga Ni baadhi tu ya watu kwa hiyo hata wenyewe wanafurahi Sana kuona tunaukataa.trump mwenyewe hapendi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habar wa Jami forum,samahani Nina maswali mawili yanayonitatiza kwenye kichwa changu,,,mke Wang alijifunga tarehe 22 mwezi wa 8 lkn mpaka sasa ameniambia hajaona siku zake za hedhi,,je mwanamke...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Jambo LA kushangaza sana hawa NSSF hawajali wateja wao, Mfano kipindi najiunga NSSF nilikuwa Mkoa wa Mbeya nimeacha kazi nikarudi nyumbani kwetu Mwanza, nimeenda kufuatilia mafao yangu naambiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa jamaa ni wakali wa kuunga mkono kila sakata na hawaonyeshi sura za aibu na huvaa uhusika wa moja kwa moja bila aibu wala soni na natumaini ni katika zile ahadi zao za nchi haitotawalika...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari yako mkuu,naimani wikend imekwenda vena na wengine najua sahivi ndo kwaaanza uko viwanja unakula ulabuz na wengine mko mnajiandaa kufanya mambo ya wakubwa haha yote heri. Sasa wikend yangu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…