...................Na Mzee Yahya Msangi........................................
Mwaka 1997 nilikuwa mwanafunzimwaka wa pili chuo kikuu cha Ireland (University College Dublin). Nilikuwa...
Serikali imetaifisha tani 240 za mahindi na kuzigawa kwenye vituo vya watoto yatima na shule 18 za sekondari mkoani Songwe baada ya kuingizwa nchini kutoka nchi jirani kinyume na taratibu.
Mkuu...
Wizara ya Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano nchini kwa kushirikiana na shirikisho la Barabara Duniani (PIARC) limeandaa Mkutano wa Kimataifa utatakaohusia na miundombinu ya Barabara na usafirishaji...
Tanapa mmetangaza nafasi za kazi, ni vizuri. Lakini mnataka waombaji wote watume maombi yao kupitia 'online application system'.
Sijaona option nyingine ya kutuma maombi zaidi ya hiyo. Hivi huwa...
Ki ukweli unastahili pongezi si tu kwa namna unavyoisimamia Wizara lakini pia kwa weledi uliotukuka katika nafasi yako. Na kipekee barua ya kuomba radhi madaktari hasa pale walipo hukumiwa kisiasa...
Imetokea mara nyingi tu kwamba kila nikienda sehemu ya biashara kupata huduma najikuta nimetoa hela halafu muuzaji ananirudishia hela yangu anasema nimempa noti bandia.
Siku moja nilinusurika...
Nataka kusafiri kwenda Bukoba ivi ni nasi gani iko vizuri kwa maana ya confortability uwapo ndani ya basi, castomer card pamoja na speed nasafiri Jumatano ijayo.
U.S. Embassy Tanzania
Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania
Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria...
Hiyo ni picha iliyopigwa ndani ya moja za kumbi za Mlimani city siku ambayo Mwanamuziki maarufu wa kike hapa nchini Judith Wambura maarufu kama LadyJD alikuwa anatumbuiza baada ya jamaa hao wawili...
Habari wana jamvi, kwa mda mrefu kidogo nimejaribu kufanya uchunguzi kuhusiana na uuzwaji wa mashirika yetu ya umma ulivyofanyika miaka kadhaaa nyuma, nakiri wazi ubinafsishaji Ni Jambo jema kwa...
Kuna kipindi fulani nilisoma andiko moja kwenye kitabu kimoja hivi ( jina nimesahau) ila kwenye kile kitabu nilikamata neno moja. "Adui mkubwa wa mfanyabiashara yyte huwa ni kodi" Hakuna...
Nguli huyu wa sayansi na mwanafalsafa aliwa sema:
"We can't solve our problems with the same level of thinking that created them."
Nukuu yake nyingine ni hii:
"Insanity is doing the sama thing...
Pamoja na jana sisi wakulima wa korosho huku Lindi na Mtwara kuguswa bila kutikiswa na kauli ya Mheshimiwa Rais kuhusu Serikali kununua korosho, bado wanaLindi na Mtwara wana dukuduku linalopeleka...
*YALIYOJIRI MKUTANO TANROADS IRINGA*
Tarehe 13/11/2018
“Kuhusu korosho sisi mkoa wa Iringa tunamuunga mkono Mhe. Rais kwa msimamo wake imara wa kuwatetea wakulima wa nchi yetu.”
*RC Hapi*...
Habarini ndugu zangu wote, me ni mtumiaji mpya wa jamii forum.
Kama tunavyo jua kua "maji ni uhai", lakini asilimia kubwa ya wananchi apa nchin wanakosa huduma ya maji Safi na salama Kwa matumizi...
Watu hao wamekamatwa na shehena hiyo Wilayani Tunduru. Korosho hizo zinaelezwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 56 na walitaka kuiuza kwa magendo
> Siku ya jana Rais Magufuli alitoa uamuzi wa...
Hivi karibuni nilisafiri toka Dar kwenda mkoa mmoja ambao atc inaenda kila siku. Cha kushangaza ni kuwa baadhi ya watu tuliokuwa tuende nao wengine waliambiwa na wakala kuwa ndege imejaa hivo...
Habari wapendwa,
Katika dunia ya leo kuna magonjwa mengi sana yanayomsumbua mwanadamu ikiwemo, presha, kisukari, kupooza, tezi dume, vivimbe vy kansa, uvimbe tumboni kwa wanawake na mengine mengi...