Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Kuna kipindi fulani nilisoma andiko moja kwenye kitabu kimoja hivi ( jina nimesahau) ila kwenye kile kitabu nilikamata neno moja. "Adui mkubwa wa mfanyabiashara yyte huwa ni kodi" Hakuna mfanyabiashara hata mmoja anayependa kulipa kodi sema tu huwa ni sheria.
Sikuamini moja kwa moja hasa hasa pale nilupokumbuka wimbo wa Rose Muhando "mpumbavu uamini kila neno" ikanibidi nifanye kautafiti kadogo.
Katika utafiti wangu niligundua kuwa ADUI MKUBWA WA MFANYABIASHARA YYTE NI KODI" Nilizidi kuamini hasa hasa pale nilipofuatilia rekodi ya watu matajiri na mashuhuli duniani namna wanavyolipwa mshahala mabilioni ya pesa lakini ndio wakwepa kodi namba moja. Mfano mzuri ni MESSI, NICK DAVIES na wengine wengi.
Uongozi wa magufuli unategemea sana kodi ili ujiendeshe na ukizingatia mieadi mingi inategemea pato la ndani tofauti na awamu zilizopita. Na Magufuli amekuwa akisisitiza sana suala la kodi na amelifuatilia kiunagaubaga sana.
Hivyo kupelekea kuwaudhi wafanyabiashara.
1.Wafanyabiashara wakwepa kodi ndio adui wa kwanza wa magufuli.
2. Wawekezaji wa nje ambao walizoea kukwepa kodi na kushindwa kufuata taratibu.
3. Waliozoea rushwa ili mambo yao yaende.
4. Watu wa vyeti feki walioachishwa kazi pamoja na familia zao LAWAMA ZOTE KWA JOHN
5. Mafisadi LAWAMA ZOTE KWA JOHN
Maskini wengi TUNAMPENDA SANA MAGUFULI MAANA HATUGUSI SANA.
Nakaribisha kukosolewa. Huu ni mtazamo wangu uliojengwa na utafiti mdogo.
"God is Great"