Sakata la korosho linathibitisha maneno haya ya Albert Einstein

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,908
Reaction score
166,133
Nguli huyu wa sayansi na mwanafalsafa aliwa sema:

"We can't solve our problems with the same level of thinking that created them."

Nukuu yake nyingine ni hii:

"Insanity is doing the sama thing over and over again and expecting different results."

Nikiitazama Tanzania ya leo kwa mambo mengi sakata la korosho likiwa ni mojawapo, naona Albert Einstein kama anaishi Bongo leo hii na yanayoendelea hapa Bongo ndio yalimfanya afikiri na kutamka maneno hayo.

Tunatakiwa tuwaze nje ya box ili watanzania tuweze kutoka hapa tulipo leo hii na matatizo yetu mengi yasipate nafasi ya kujirudia vinginevyo dunia nzima itatuacha nyuma.
 
Wakati China wanasaidia makampuni binafsi ya wachina na yanatamba katika Afrika na duniani, sisi tunawachukia wafanyabiashara na tunafikia hatua ya kutumia jeshi kupambana nao. kama unaamini kwamba wafanyabiashara ni wezi tu na hawana maana, hutawekeza katika kuwajenga, hutawajali, utawashambulia, na sekta hiyo haitachanua
 
Humukusikia mzee siku ile anapata menu na wachezaji wa Taifa stars?
Alisema anatamani timu ya Taifa aivunje na aweke wanajeshi watupu na ni zoezi asubuhi mpaka jioni. Mchezaji akikosa penati ni extra drill mpaka kileweke?
Hivyo aliposema korosho na jeshi mie sikushangaa kwani mawazo yake yako kwenye ubabe tuu
 
Viatu alivyovaa hamvitoshi hata akiweka makaratasi.Tuna hasara.
 
Jamaa akili zake zinamtosha kupiga tu wananwake na so vinginevyo
Humukusikia mzee siku ile anapata menu na wachezaji wa Taifa stars?
Alisema anatamani timu ya Taifa aivunje na aweke wanajeshi watupu na ni zoezi asubuhi mpaka jioni. Mchezaji akikosa penati ni extra drill mpaka kileweke?
Hivyo aliposema korosho na jeshi mie sikushangaa kwani mawazo yake yako kwenye ubabe tuu
 
Wakati China wanasaidia makampuni binafsi ya wachina na yanatamba katika Afrika na duniani, sisi tunawachukia wafanyabiashara na tunafikia hatua ya kutumia jeshi kupambana nao. kama unaamini kwamba wafanyabiashara ni wezi tu na hawana maana, hutawekeza katika kuwajenga, hutawajali, utawashambulia, na sekta hiyo haitachanua
si hilo tu hata wale wafanyabiashara waliofanya kazi na serikali ya awamu hii wengi wako hoi kwa sababu serikali ya magufuli hataki kulipa madeni binfsi lengo likiwa ni kwamba wafilisike waishi kama mashetani
 
Mbaya zaidi wale wenye mawazo mbadala wanaonekana si wazalendo, wasaliti wa nchi kwa kutumwa na mabepari, wakwamisha mipango ya serikali! kwa ujumla wamebatizwa majina mengi!

Leo hii korosho itanunua serikali, itasomba serikali, makuli ni wafanyakazi wa serikali, itabanguliwa na serikali, sasa huo mzunguko wa hela uko wapi kwenye jamii ya maeneo hayo?

Vijana waliozoea kubeba magunia na kupakia kwenye magari leo watafanya kazi gani?

Mwisho wa siku mtuambie serikali itapata faida gani kwa sababu wanachofanya si sehemu ya huduma za kijamii na hilo ni zao la biashara
 
Watu waliwafunga magerezani wanadamu kwasababu ya kuipa jina baya bangi.
Wanaadam wanakusanya hela ndefu kama kodi kupitia bangi.
(hawa wanaofikiri kwa kutumia akili za marehemu "julius" hawana ubongo wa kutuvusha)
 
Kwa hili wakikutumia Nissan shauri yako. Haya mambo ya Mwalimu Janeth kucharazwa na Mwalimu John ni mazito mkuu.
Ebwana eeh, mie simo hapo hata kidogo. Kumbe ndio hivyo? CWT mko wapi mwalimu Janeth anacharazwa huku nyie mko kimya tuu!
 
Humukusikia mzee siku ile anapata menu na wachezaji wa Taifa stars?
Alisema anatamani timu ya Taifa aivunje na aweke wanajeshi watupu na ni zoezi asubuhi mpaka jioni. Mchezaji akikosa penati ni extra drill mpaka kileweke?
Hivyo aliposema korosho na jeshi mie sikushangaa kwani mawazo yake yako kwenye ubabe tuu
kweli ni empty set
 
Wakuu tuweni na staha kwa viongozi wetu. Katika Hili sakata la korosho nawapongeza Mhe. Zitto Zubery Kabwe na Kiongozi wa Upinzani Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kuwa na mawazo ya kujenga zaidi kuwa wakulima wetu wasaidiwe

Kauli ya Zitto:

zitto_ushauri.JPG

mbowe.JPG
 
yake nyingine ni "NOT EVERYTHING THAT COUNTS CAN BE COUNTED AND NOT EVERYTHING THAT COUNTED TRUELY COUNTS".
 
Back
Top Bottom