Posta mpya iko wapi na ya zamani iko wapi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,050
Reaction score
61,376
Mpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
 
umezaliwa hivi karibuni ungeuliza kwanza hata kwa jirani yako ungepata jibu in short kabla ya kuhamia hapo unapopajua zamani ilikuwa wanapoita posta ya zamani
 
Mkuu ukiingia ktk jengo la posta ya zamani angalia kushoto na kulia kwenye kuta utaona majina ya askari waliopigana vita ya dunia.
Hayo majina ni watu waliozikwa hapo kwenye hiyo bustani inayoitwa kivukoni front, baadae makaburi yakahamishiwa makumbusho ilipo millenium tower nadhani mengine yakapelekwa ununio.
Kwahiyo ilo jengo linalotazamana na bahari ni jengo kongwe sana.
 
Naina wewe wa kuhadithiwa juu ya Jiji.
Makaburi ya Makumbusho yalihamishwa toka barabara ya Ocean (Ocean Rd).
Posta au Azania Front hapakuwahi kuwepo makaburi.
 
Nimezungumzia kivukoni front pale kwenye bustani sijazungumzia Azania front utakuwa mgeni wa jiji.
Nimesoma Forodhani kwa miaka mi4 nimemaliza 94 hapo bustanini ndio ilikuwa sehem yetu yakupumzikia tukisubiria daladala.
 
Mpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
UTAKUWA UMEKANYAGA MDUDU.
 
Back
Top Bottom