Nakadi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,784
- 7,377
Kiukweli nimeshindwa kuvumilia hii adha, ni kama mwezi sasa toka niache hii shughuli haramu ya kubeti na nimetubu kabisa kwa mola wangu na sitorudia Tena Fanya huu upuuzi.
Sasa kitu kinachonikera ni hzi message za convision kutoka makampuni mbalimbali..
Ohh..!! Mara leo mtananga kati ya Taifa stars vs Resotho...
Ohh..!! Mara Leo mtanange kati ya Komando vs Ngangali, Nani kushinda Leo...
So wakuu naomba njia mbadala ya kustopisha hizi message katika simu yangu maana zinanitia kero kabisa, message nyingi zinaingia through hii namaba 15888.
Nawasilisha.