Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,827
- 50,956
Ndugu wana JF, nina ndugu anaomba msaada kufahamu kilipohamishiwa chuo cha IIT (Institute of Information Technology kilichokuwa eneo la Ilala karibu na Machinga Complex maana amejaribu kupiga simu kwa kutumia namba zao za landline hakuna inayopokelewa
Natanguliza shukurani kwa msaada wenu
Natanguliza shukurani kwa msaada wenu