Ajali Mbezi Mwisho

Ajali Mbezi Mwisho

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Nimepita mbezi mwisho saivi makutano ya barabara mbele ya Shel ya oilcom Hiace na Tipa ya mchanga zimegongana vibaya sikuweza kuchukua picha.
Sijajua Kama kuna waliopoteza maisha
 
Hapana mkuu si unajua ukipewa lift huna sauti
Mkuu umenikumbusha mbali saana; muda huo wa lift unaishi kwa shida sana; hata kama unataka apunguze AC huwezi kumwambia, sauti ya redio ipo juu lazima uvumilie....tena siku ambayo asubuhi unawahi job na mvua inanyesha sasa jamaa akusaidie lift...aisee!! Kila analolisema we ni ok ok ok Mkuu!! Huku moyoni unasononeka!!
 
Mkuu umenikumbusha mbali saana; muda huo unaishi kwa shida sana; hata kama unataka apunguze AC huwezi kumwambia, sauti ya redio ipo juu lazima uvumilie....tena siku ambayo asubuhi unawahi job na mvua inanyesha sasa jamaa akisaidie lift...aisee!! Yeye ndiye dereva, yeye ndiye mwenyekiti, katiby yeye, mweka hazina yeye!!
Ndo lift ilivyo unataka kupiga picha jamaa anang'oa
 
Back
Top Bottom