Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,021
- 9,575
hii ndio hali halisi! Mfanyakazi wa serikali katoa picha hiyo! mfuko empty! miaka mitatu hakuna mshahara mupyaa! maisha yamepanda lakini sie tunaishi kishetani!
hali ni tete Mungu tusaidie