Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NI dhahiri kwamba nchi za Ulaya zinaongoza kwa burudani ya mapenzi (ngono) duniani, japokuwa watu huisahau Malaysia kuwa miongoni mwake. Kwa mujibu wa utafiti wa taasisi ya Durex, Malaysia ni...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Nimeingia Mtwara jana mchana . Nimekuja ' kutafuta toto za kimakonde" @ Wasafi Festival. Miaka ya nyuma ilikuwa ukija Mtwara unakutana na wabongo kutoka sehemu mbalimbali za...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani nchini Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Fortunatus Musilimu amesema madereva wa magari ya serikali watakaokiuka sheria za usalama barabarabi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya machame Magharibi Mkoani Kilimanjaro,MARTIN Munisi anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake mzazi Mzee Danieli Ngatara Munisi kilichotokea machame Jana Tarehe 23/11/2018 ...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Zifahamu haki zako za msingi kabla hujakamatwa na police, Polisi atapokuambia upo chini ya ulinzi, unahaki ya kumwambia usinizingue. Police atapo kupiga kibao,unahaki ya kumpiga dumi,mateke nk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa TANGAZO lililozunguka kwenye makundi ya wasap, Leo tar.21 ndo siku ya kupigiwa simu ya kuitwa kazini. Je, kwa walioapply.... Kuna aliyeitwa. NB Kama hujui Hilo TANGAZO Uzi huu sio...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
'Nakupenda, unanipenda, usinishike mkono' ni kampeni inayoanzishwa na Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Seleman Jafo ili Watanzania waache kushikana...
5 Reactions
70 Replies
10K Views
hALI yA HEWA iNASEMAJE wANADU wASANAA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani wakuu,sina access ya jukwaa la dini.Nimeona niulize maswali yangu apa tafadhali: (1) Hivi inaruhusiwa kwenda beach na mkeo,na ni nguo gani za kuvaa,kwa maana hawezi kuingia na hijab...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Unakuta ukishalichemsha na kulimenya, kile kiini kinamwagika kama majimaji yenye unga wa njano, halafu ile sehemu nyeupe ya yai inakua kama lipira la plastiki ukilibonyeza, linapukuchika kama...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamvi naombeni msaada najaribu kujiunga utumishi portal kwa ajili ya kupata salary slip .Tatizo limekua kwenye kuweka tarehe ya kuzaliwa inagoma kabisa sijui wapi napokosea.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kama unaelekea Segerea ahirisha kwa muda.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku ya Leo mitambo ya umeme inaelekea kinyerezi magari makubwa yanapita Yale yanayotumia njia mbili.foleni hio inakutana na foleni ya magari kutoka shule ya tusiime ambapo Leo Kuna mahafali pale...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
BIMA KWA MAGARI YA SERIKALI Ndugu Wazalendo, nawapongeza kwa jitihada mbali mbali za kusukuma gurudumu la Taifa ili nchi yetu iweze kufikia katika uchumi wa Kati kama Dira ya Taifa inavyosema...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Igweeeee....wana Great thinkers.....!!! Baada ya salamu. Nijikite moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu. Ndugu, vijana wa kiume usiruhusu binti ama mwanamke akuzarau aisee utapata tabu Sana...
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Wachagga wote waaminiwe wabaki katika Mabenki na Taasisi zote za Kifedha Wapare wote wapewe Jukumu la Kupanga Bajeti ya nchi nzima Wasukuma wapewe Jukumu la Kulima Mashamba yote nchini Tanzania...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanajamvi natumai mkopoa NI wiki 3 sasa. Toka vyuo vikuu vifunguliwe majina ya wanufaika wa mkopo tayari baadhi yamefikishwa na wengine tayari wameshapokea mkopo lakin Cha kushangaza Kuna...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Dr Karen Weatherby wa Ujerumani kuhusu afya ya mwanaume kwa mwanamke,utafiti huo umebaini kwamba mwanaume anaetazama matiti ya mwanamke kwa muda wa dakika 10...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama picha na title inavyojieleza nyimbo za huyu mama ni za aina gani? Ama yupo katika kundi lipi? Ni za msiba? Mimi huwa nazigwaya sana nahisi za mizimuni zimekaa kutishatisha na za kiajabu...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakulima wa korosho mtamchagua tena?Vpi korosho zenu zimeshanunuliwa?Mbuzi washaanza kunywa soda?Ok Huku kwetu tunapambana tu si mnajua harakati za mtu mweusi.? Vipi lakini kwa ujumla wakulima...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…