Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imepanga Desemba 13, 2018, kumsomea maelezo ya awali, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe anayekabiliwa na kesi ya uchochezi...
Habari wanajamvi
Ilikua ufahari sana kufanya kazi kwenye taasisi za fedha ila yawezekana hata sasa wengi bado wanaamini hivo, binafsi nilikua nawaona hawa watu ni wa daraja la juu kabisa na...
Mzuqa wanaJamvi.
Uzuri wa wenzetu wakikubaliana na kusain mikataba wanahiheshimu pamoja na vipengele vyote. Sisi hapa tulisaini east africa treaty yani tunaweza kufanya biashara na kyfanya kazi...
Serikali ichukue asilimia 51 ya betting system zote free of charge bila kulipa chochote, anaeona inamlipa aendelee kula jasho la wananchi pamoja na serikali ni sawa, lakini atakaeleta uchoyo kwa...
Developing countries depend on the US- FDA to certify whether GMOs,are safe for human use.But do you know that the FDA does not test whether GMOs,
Agrichemicals or Pharmaceuticals are safe for...
Ninashindwa kupata maneno mazuri ya kutumia ili kumaanisha majonzi, kilio na masikitiko yangu. Kwa kweli inaudhi, inakera na inaumiza.
Kwamba kwa miaka kadhaa sasa nilitafuta namna ya kukabiriana...
Baba au mama anaeza kuwa na proffesion zaid ya moja kwa nyakati tofauti, mfano mwalimu baadae, HRO au Mchumi etc hasa ktk private institutions au hata govt, na chet cha mtoto kilisomeka kazi ya...
Wapendwa,
Napenda kufundisha watoto wadogo kati ya miaka 3-6.
Ningependa niwe darasa interactive na rafiki kwa watoto.
Nahitaji vifaa vifuatavyo,ila hapa Bongo nitavipata wapi?
Jaribu kutuliza akili kwanza ili unielewe:
Nia ya huu uzi sio kuwakandia watanzania, Kwenye nchi mama Tanzania kuna watanzani wenye utu . Ila kwa vile kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo...
Nimejikuta nawaza sana mambo yanvyokwenda hapa nchini maana kila leo kuna jipya, kila sekta inamulikwa hata zile ambazo huenda hazina tija kubwa sana.
Wasiwasi wangu huenda KODI YA KICHWA...
Naomba wataalam wa ujenzi wanifahamishe ni tofauti gani iliyopo kati ya bati za gauge 30 na gauge 28, nafanya ujenzi nilitaka niweke bati za migongo mipana wanazoita m-South ila gauge 28 imekuwa...
Ninaendelea kushangaa kuona shirikisho la wafanyakazi nchini halitoi tamko juu ya mjadala mkubwa unaoendelea kuhusu fao la mkupuo kwa wastaafu,badala yake mjadala wameachiwa ssra na wadau wengine...
Wakuu habar za mda huuu,
Baada ya salam naomba nijielekeze kweny mada ya husika nauliza hivi hakuna dawa, mafuta au jelly ya kupakaa ili kujikinga na janga hili la UKIMWI hata mkifanya na...
Najiuliza tu kama awamu zote nne zilizopita watu walikula mafao yao bila tatizo iweje awamu hii wapige [emoji359], mafao ya watu, pesa zipo wapi?
Hizi pesa zinatumika wapi hadi mifuko iwe na hali...
Watu wa humu jf natumai mko poa sana kuna kitu kinanichanganya hv wasafi fm radio inaskika mkoa wa mtwara ambako leo tar 24 inapigwa show matata sana ya wasafi festival!!?? Naje ni mikoa mingap...
Nimetokea sana Kumpenda huyu ' Script Writer ' wa ' Movies ' za ' Utekaji ' nchini Tanzania Director Mambosasa ila sijajua kama tayari ameshazimaliza ' episodes ' zake zote au labda amenyamaza...