Haya ndiyo magazeti yanayoongoza kwa habari za ukweli na umakini bila upendeleo

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,262
1,220
Magazeti mengine yanafuata sera za kisiasa kadiri ya chama wanachoshikamana nacho. mengine yanatumiwa na watu wenye nguvu au serikali. yapo mengine ni ya kidini na humu uzini cjayahusisha kabisa. machache haya yanafanya vizuri sn ktk nyanja zote kwa habari za kina, uchunguzi na ukweli: JAMHURI, MWANANCHI na NIPASHE.
 
Back
Top Bottom