Watu sita wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, wameuawa baada ya kuzuka kwa mapigano ya risasi na kikosi maalumu cha polisi cha kupambana na uhalifu Dar Es salaam
Vyama vya wafanyakazi Tanzania vimelegea sana labda hawajui ni kitugani kinaendelea kwenye haya makampuni dhidi ya wafanyakazi ni unyanyasaji mkubwa.
Vyama vya wafanyakazi hata havijulikani na...
Kweli sisi bado sana, yani mpaka sasa hakuna taasisi yeyote au msemaji wa taasisi yeyote inayohusika na mambo ya geology au ulinzi au mambo ya anga au majanga ambaye ameweza thibitisha ni kitu...
Kila nchi duniani ina sifa zake kwenye ishu ya hali ya hewa ambapo kwenye nchi nyingine kuna Joto na kwengine kuna baridi pia wengine wakiwa na hali ya hewa ya wastani,
1.QATAR
Wakati wa msimu...
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha Jumatatu Desemba 3, 2018 inatarajiwa kusoma hukumu ya kesi inayomkabili wakili maarufu nchini Tanzania, Median Mwale na wenzake wawili baada ya kukiri makosa.
Katika...
Leo nataka niwazungumzie SUMATRA katika suala zima la kukata vibali magari ya mizigo.
Kumekuwa na mtiririko wa kukamatwa barabarani kwa kupigwa faini kubwa sana ya sh 250,000 iwapo gari yako...
MANA ILIYOSHUSHWA KUTOKA MBINGUNI.
Katika agano la kale, wakati wana wa Israeli wakiwa safarini kuelekea nchi ya ahadi, walioahidiwa na Mungu mwenyezi, tunaona Bwana Mungu, alijua shida iliyokuwa...
Kuna tatizo kubwa la kuadimika kwa bia za serengeti. Kiwanda kilitakiwa kitoe taarifa kwa wateja wake ili tujipange lakini hawakufanya hivyo na kuisababishia usbufu usio wa lazima. Jitahidini...
Habari za majukumu
Hivi inwezekana kutowa Hela ATM ukiwa nje ya nchi kwa kutumia card ya CRDB visa card. Ili kuepusha maswala ya kuchange hela nchi hizo za kigeni.
Ni swali la mjadala. Kwamba; Mitandao ya Kijamii ni RAFIKI au ADUI wa Vyombo vya Habari vikongwe i.e Televisheni, Redio na Magazeti?
Tunakumbuka jinsi tulivyokuwa tukifuatilia ratiba za...
NAFAHAMU umewahi kuona ng’ombe wengi lakini wengi wetu hatujawahi kumuona ng’ombe mkubwa duniani na hata kama tumemuona basi naamini tutakuwa hatujui mambo mengi yanayomhusu mnyama huyo.
Ng’ombe...
Kwa mliopitaga Udsm miaka ya 2005/2006 hadi around 2010/2011 na ambao mlikuwa MNA hang out na kundi la walevi wa ud kama kina Sajo wa daz nundaz, yule mzungu wa kuitwa Afande Jesus et al, mtakuwa...
Habarini wana JF,
Nahtaji bima ya afya ya NHIF kwa ajili yangu binafsi sipo kwenye ajira, nilienda NHIF nikaambiwa kwa mtu binafsi inatakiwa kama 1.5M hivi, lakini nikaambiwa kama nina kikundi...
Katika pitapita yangu Michuzi naona harusi ya mdogo wake kikwete. Mambo machache yananivutia
1. Kwanza kama vile anayeoa ni mkubwa kuliko mh (facial expression)
2. Harusi imefanyika VIWANJA VYA...
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Habari za kuanguka kitu kinachodhaniwakuwa ni kimondo huko Kagera, Bukoma zimetawala sana hii wiki na pengine zikazidi kushamiri hata miaka ijayo.
Simulizi mbali mbali...
By Staff Reporter
PRETORIA,S.A, 29-11-2018:
WHEN President Magufuli’s ongoing reforms continue to receive worldwide accolades making African Union (AU) appealing to members to emulate him...
Merry X-mass Wana jamvi wenzangu... Natumai mnasherehekea vema x-mass sikukuu hii.. Pole kwa wote Ambao imekua tofauti na matajario na matakwa yetu, Mungu Awasaidie..
kuna kitu nmekua najiulza...
Ndugu wana Jforum, nawasalimia kwa salamu zote.
Husika & kichwa cha habari hapo juu"MAWAZO YENU/KWANGU".
Pichani kama navyoonekana, ni Mimi MWANGAH nilikuwa maeneo ya kazi zangu ktk mkoa wa...