“Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo. Wengi wanaona kuwa katika karne ya 21 mtoto wa umri huo bado ni mdogo sana na anapaswa kuwa...
Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka?
Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi!
Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF?
Unahisi miaka ya sahivi...
Endapo Hussein Mwinyi atamaliza kipindi chake cha urais Zanzibar mwaka 2030 na akataka kuhamia siasa za Bara kama ilivyowahi kutokea kwa baba yake (rip),
Je ndani ya CCM kutakuwa na nguvu au...
Ni wazi Katika harakati za maisha kuna pingamizi nyingi sana, kuna muda unapambana sana kutafuta kile unachokihitaji, unabahatika unakipata lakini kinapotea na kubakiza kama ambaye hajafanya...
Hiki CHEO kimekaa kimkakati SANA kwan kipo kwa matakwa ya mtu Fulani sababu hakipo katika KATIBA
Sasa ndugu zangu wasukuma baada ya kifo cha JPM walivunjika moyo sana kwan kifo. Chake kilizua...
Wakuu kuna kitu hakisemwi kuhusu huu mlipuko wa tatizo la figo.
Inatajwa pombe, soda na vitu vingine. Ni sawa ila mimi ninasisitiza watu tutumie kinga na tuwe waaminifu kwenye mapenzi.
Kila mtu...
Kuna application hii ya kutoa mikopo mitandaoni inaitwa KKPESA naombeni muifuatilie kwa ukaribu sana.
1. Riba zao ni kubwa na inatakiwa mkopo ulipwe kwa muda mfupi sana siku 7.
2. Siku ya 6...
Mimi ni mrefu almost 6.4 ft.
Miaka 27 Nina kilo 89.
Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida
Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na...
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOKUWA NA WATU WAKUBWA KAMA VIONGOZI WA NCHI AU MATAJIRI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana wengi wamekuwa wakitamani na kuomba Kila Siku ndoto yao ya kukutana na...
LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI
Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na...
Msewe Chief Kunambi Maji yamekuwa shida tangu November 2025
✅️ Mvua ikinyesha maji nayo yanatoka, Ikikatika maji nayo yanakatika.
✅️ Tunamaliza wiki mbili bila maji ya mgao, yanaweza toka usiku...
Nipo Mbezi Msakuzi, kuna changamoto ya maji kukatika mara kwa mara, na hata yanapotoka hudumu kwa muda mfupi kisha hukatika tena. Hivi sasa tunaelekea wiki ya pili bila maji. Tunapotoa taarifa kwa...
Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake
Samsoni na Delila
Hebu kwanza tusome habari fupi kuhusu Samsoni na Delila, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi 16:1-22
Samsoni ni nani...
Rhimo Nyansaho kwao ni Serengeti, makao makuu a hii wilaya ni Mugumu (kwa sasa serengeti mjini) ni sehemu ambayo ukifika utajishika kichwa kwa kushangaa jinsi maendeleo yalivyo duni ilhali...
WATUMISHI WA SERIKALI WANAOTUMIA DAWA ZA KULEVYA WAKALIA KUTI KAVU…
MichuziMay 14, 2026Read original
-DCEA kuja na operesheni maalum kuwabaini, vijana walioko vyuo vikuu, katika vijiwe waonywa...
Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa...
Shukrani zote anastahiki Allah Mola mlezi wa walimwengu wote
Swala na salamu zimshikie kipenzi chetu mtume Muhammad swalallahu alayhi wasalam na jamaa zake na maswahaba zake na watakaowafuata hao...
Kulingana na roho yake ya kinyama na matendo yake ya kinyambilisi, yaliyochangia pakubwa kuleta simanzi kwa familia nyingi za waTz, tunapaswa kuishi na kumbukumbu ya milele kumuhusu mtu huyu...