Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Kairuki, kesho, kitafanya kongamano la kwanza la wanataaluma wa chuo hicho (convocation) ambalo litafuatiwa na mahafali ya 16 ya chuo hicho, yatakayofanyika siku ya...
8 Reactions
16 Replies
5K Views
1. Karibia kila mtu anajifanya mjanja wa mjini na anaujua mji vizuri japo wengi wao ni wakuja, wazawa wa vijijini waliokulia maisha ya kulima korosho, viazi na mihogo. 🤣 2. Cha bure jijini Dar es...
3 Reactions
14 Replies
6K Views
Kamata huyu mama akishirikiana na wenzie. Juzi 10/5/2018 mama alipewa dawa na majirani eti ampe kijana wake ambaye ni mlevi kupindukia kwamba ni dawa ya kumfanya aache kunywa pombe. Masharti ya...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Mfanyabiashara Maarufu jijini Arusha,Kamaljit Hanspaul (58)na wengine watatu wenye uraia wa nje wamefikishwa mahakamani katika mahakama ya hakimu mkazi ,Arusha kwa makosa ya kuajiri na kuajiriwa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Namna bora ya kusafisha image ya gvt kimataifa ni kutengeneza wakosoaji feki watakaoisema sana serikali lakini wasiguswe waachwe waseemeee weeeee na wala serikali wasijibizane nao hii itafanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapendwa naomba mwenye nyimbo hizi anisaidie kwani nimezitafuta sana YouTube na kwingineko bila mafanikio. Nyimbo za Nasma Khamisi Kidogo(zote), nyimbo za Khalila Yusuph Tongola na ikibinda...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote. Mimi mdogo wenu nipo mzima wa afya nauza tu samaki wa kukaanga hapa Tandale kwa Mtogole. Biashara sio ngumu sana wateja nawapata. Juzi nilienda kumtembelea...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Nawashauri ccm wabadili rangi zao za njano na kijani ili waanze kupendwa nawashauri watumie blue na nyekundu au blue na nyeupe au blue na njano asanteni fanyeni hivyo mtaniambia kijani na njano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira), Antony Mavunde amesema kwa siku wasichana 72 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 wanaambukizwa virusi vya Ukimwi (VVU). Akizungumza...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Wakuu naomba kufahamu kuhusu hawa watu, Ni watu wa aina gani mana nawaona ni wanume kama ni wanawake. Wanatafauti gani na Gays? Kimomba kidogo kinatutatiza sie wengine.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakubwa, kama kuna mtu anahitaji laini ya wakala ya M-pesa tuwasiliane. Nitumie Private Message. Niko Dar.
0 Reactions
1 Replies
677 Views
katika matukuo kadhaa ya fumanizi za kimapenzi hasa wanandoa tumeshuhudia mhanga wa ugoni akiuliwa, kulawitia au kujeruhiwa, je sheria ya nchi mahakamani inampa adhabu gani mgoni? ni adhabu ndogo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Maharage 2. Kisamvu 3. Matembele 4. Mchicha 5. Majani ya Kunde 6. Kabichi 7. Majani ya Maboga Halafu Swali la nyongeza ni kwanini pia ukienda hayo maeneo tajwa hapo katika Kichwa cha Habari...
7 Reactions
129 Replies
17K Views
Ilipoishia, ni pale ambapo nilikuwa zang juu ya mti takribani lisaa limoja.. Endelea... Baada ya kugundua kuwa nimeingiliwa na chui, moyo wangu ulilipuka na nikajikuta natetemeka na miguu kushikwa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Salam, Ndugu yangu anasumbuliwa na mapepo yanayofanya atapike sana na kuishiwa maji mwilini (Nasema mapepo maana hata vitabu vya dini vimetaja aina za pepo wachafu) Anaongea lugha za ajabu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
29/08/2017, Ambwene alipiga simu #116 kutoa taarifa kuhusu mtoto Baraka aliyekuwa akiishi na babu yake Mbeya. Ambwene anaishi Tunduma ila alienda kijijini kusalimia ndugu zake ikiwa ni pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii kitu imekaa vizuri saana...maisha yenyewe yalivyo mafupi arafu mtu anasema "HAPA KAZI TU".....lets' go for 2020 nimeipenda saana hii kauli
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hali ya hewa hapa imekuwa ya Joto kali kuliko tulivyozoea, Hali hiyo imesababisa watalii wengine hapa kutembea huku wamevaa viboksa tu, kwa upande wa Wana wake wa kizungu wanavyovaa kutokana na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi binafsi sipingi tuhuma zilizotolewa na huyu mama ila nina maswali kadhaa yananipa shida kutokana na namna alivyowakilisha wazo lake kwenye hadhira ya UDSM na watanzania wote kwa ujumla MOJA...
4 Reactions
107 Replies
11K Views
****Tafakari ya leo****** "WASOMI" NA NDOTO ZA ABUNUASI Hebu vuta picha,namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…