Nimeona kwa macho waendesha pikipiki wanaojulikana kama bodaboda wakifukuzwa na polisi almaarufu Tigo kana kwamba ni wauaji au mahaini.
Mara nyingi bodaboda anakimbia kwa mwendo mkubwa mno bila...
Habarini wadau wa JF pole na majukum ya kila cku,,
straight to the point.
wakati niko mdogo takriban miak 10 hv cku moja nko ktk harakat zangu za mawindo nilijikuta nipo katikat ya pori kama...
Enyi akina Dada/mama mnatuboa sana na Huduma zenu utafikiri ofisi ya kwako kumbe nawe ni kibarua tu
1, mnanuna hovyohovyo
2, majibu yenu ya hovyohovyo
3,mnauliza maswali ya hovyohovyo
In short...
Kawaida matajiri wengi huwaza pesa tu ,kiasi gani ataingiza kwa siku bila kujali uhai wa abiria.
Leo nimepanda basi liitwalo kaprikon lifanyalo safari za kutoka mkoani singida kwenda mkoani...
Ndugu usipate shida kujiuliza kuwa wazazi wako wanakupenda kwa kiasi gani. Subiri tu wakati wa kugawa mirathi.
Hapo ukiona mwenzako amepewa nyumba wewe umepewa makabati, TV na Friji ndio utajua...
Maadili lazima yazintiwe.
A respected English and creative writing teacher in Pennsylvania was fired on Friday from her job at the Catholic high school where she’s been employed for four years...
Katika hii dunia kumekuwa na matukio mengi sana ya mauaji kwa kila nchi na kila nchi ina sheria zake na taratibu zake za kufuatilia kesi hizo na hukumu zake ambako tumeona hapa nchini kesi za...
Hile tabia ya mabus ya mkoani kuongeza bei za nauli kipindi hiki kinaweza pungua mda huu vijana wa Sumatra wanauliza abiria wa basi Mberesero nauli na kugundua baadhi yetu wamelipishwa sh 33000...
Nimekua nikijiuliza siku nyingi kuhusu wadhifa wa SSP Advera Senso.
Natambua cheo chake ni msemaji wa jeshi letu la polisi, ila sijuagi majukumu yake hasa ni nini ,na sababu zangu za kutokutambua...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) jijini Dar inamshikilia Mhandisi wa Kampuni ya Mask and Sons, Leonard Mkaka kwa tuhuma za kuomba rushwa ya ngono
TAKUKURU ilimuwekea mtego...
Maendeleo ya wanachama wa Namaingo Business Agency LTD mkoani Manyara Kata ya Bagala block x wakizalisha uyoga baada ya mafundisho makini ya kilimo hicho toka kwa mratibu wa Namaingo ndugu Shabani...
Huwa napata wakati mgumu sana pale nikiona Rais fulani ameenda nchi fulani au yupo nchi fulani halafu Walinzi wake yule Rais wanakuwa ' wanahaha ' na kama vile labda ' hawauamini ' Ulinzi wa Rais...
Kanisa limejaa watu waliookolewa na kukombolewa wamenunuliwa na kulipiwa Deni ya dhambi na Damu ya Yesu
nakumbuka jinsi Roho Mtakatifu alivyoniongoza kuingia Kanisa la Eagt miaka ya 90 pale Mnazi...
HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, inadaiwa zaidi ya shilingi Bilioni 32 na Benki ya CRDB kutokana na mkopo iliyokopa kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la Kimataifa la Mwanjelwa huku soko hilo likiwa...
I am arranging a trip for two co-workers from Tanzania to Zimbabwe. They will fly from Dar es Salaam, switch planes in Addis Ababa, then onward to Victoria Falls. Return journey is the same in...
Published on: Wednesday, December 5th 2018
By Harold Hans, WASHINGTON – YET again, the Western media, having destroyed unity and harmony in some of their countries, have continues with the...