DAR: Mhandisi mbaroni kwa kuomba rushwa ya ngono

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) jijini Dar inamshikilia Mhandisi wa Kampuni ya Mask and Sons, Leonard Mkaka kwa tuhuma za kuomba rushwa ya ngono

TAKUKURU ilimuwekea mtego katika nyumba ya kulala Wageni ya Nara Beach Lodge iliyoko Kigamboni na kufanikiwa kumkamata

Kampuni anayofanyia kazi imepewa zabuni ya kutengeneza barabara katika Halmashauri ya Temeke maeneo ya Toangoma mtaa wa Masaki jijini humo

Anaelezwa kuvunja kifungu cha 25 cha sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11/2017 na atafikishwa Mahakamani kufunguliwa mashtaka
 
Ali deep stick!
 
rushwa ya ngono imeenea ktk kila sekta, waajiri, maofisini, ktk kutunukiwa vyeo n.k kote huko kunanuka rushwa ya ngono.
Rushwa ya ngono ambayo inadhalalisha utu wa mwanamke inaonekana kama vile haipo lkn ni tatizo kubwa zaidi, Hongera kwa TAKUKURU kitupia jicho ktk aina hiyo ya rushwa, wahanga wa rushwa ya ngono ni wengi sana kuliko
 
Tunapaswa kuwadhalilisha vilivyo hawa watu wanaopatikana na hatia ya kuomba rushwa ya ngono,hatupaswi kuwatazama kwa sura ya utu.​
 
Back
Top Bottom