Rais Magufuli amteua Kamisha msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Mbaraka Sultan Semwanza kua Kamishna wa utawala na Fedha Jeshi la zimamoto (CF)

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
IMG-20181204-WA0031.jpg
 
Rais awe anaacha vyeo vingine kamishana wa zimamoto avitangaze maana ni vyeo vya ndani.

Rais kuteua hadi watumishi wa ndani sasa boss wa taasisi yeye atafanya kazi gani?.
Kwani katiba inasema. Je mkuu? Nadhan hapa katiba inamruhusu kufanya hivyo
 
Rais awe anaacha vyeo vingine kamishana wa zimamoto avitangaze maana ni vyeo vya ndani.

Rais kuteua hadi watumishi wa ndani sasa boss wa taasisi yeye atafanya kazi gani?.
Kwa cheo hicho ni Rais tu ndie anaeweza kuteua kwa mujibu wa katiba.
 
Back
Top Bottom