Maana halisi ya SWAT .

Maana halisi ya SWAT .

Kazi ya SWAT na majukumu yake ni nini
SWAT ni special force ya USA ikiwa ni kifupi cha (Special Weapon And Tactics) SWAT. Ni kikosi cha askari wenye akili na techniques za hali ya juu zaidi Duniani kwenye mapambano ya mkono au silaha za ana kwa ana zile (Close quarter Battle) CQB.
Majukumu yake ni kuhandle situation ngumu za ndani na nje ya marekani zinazousisha Ugaidi, Ujambazi wa kutumia silaha nzito, e.t.c

Kwa sababu ya terrorism na vita ya madawa SWAT hulazimika kufanya Kazi nje ya mipaka ya USA kwa kukusanya ushahidi na kufanya ambush.
 
BONGO TUNAKIKOSI KM HICHO ?
 
SWAT hawatoki nje ya USA. Ni kikosi maalum ndani ya jeshi lao la polisi.
 
INA MAANA ASKARI WETU NGUVU NYINGI kili kidgo pia technology wako nyuma?
Kwanza hatuna pesa ya kukiendesha kikosi chenye ufanano na hiki cha most elites force in the world SWAT. Kuna askari wenye mafunzo kama ya SWAT hapa bongo sema sio profession, modern, smart and sophisticated kama zile nguli za USA. Hivyo wapo ila wababaishaji.
 
SWAT hawatoki nje ya USA. Ni kikosi maalum ndani ya jeshi lao la polisi.
Watu wamezoea kuwaona SWAT wakifanya Kazi za ndani ya nchi wanahisi jamaa wana jurisdiction ya ndani ya nchi pekee. Hapana SWAT kama special force zingine zozote zile wana mandate ya kufanya Kazi ndani na nje ya nchi sema inakuwaga confidential.
 
Usije kuwa unachanganya na Navy Seals. SWAT ni kikosi maalum kwenye jeshi la polisi.
 
Kama ni Confidential we umejuaje!!??
Gahawa tu.
 
SWAT ni special force ya USA ikiwa ni kifupi cha (Special Weapon And Tactics) SWAT. Ni kikosi cha askari wenye akili na techniques za hali ya juu zaidi Duniani kwenye mapambano ya mkono au silaha za ana kwa ana zile (Close quarter Battle) CQB.
Majukumu yake ni kuhandle situation ngumu za ndani na nje ya marekani zinazousisha Ugaidi, Ujambazi wa kutumia silaha nzito, e.t.c
Sio Marekani tu ndo kwny SWAT kila nchi ina SWAT ila wana tofautiana majina ila majukumu ni yale yale
 
Usije kuwa unachanganya na Navy Seals. SWAT ni kikosi maalum kwenye jeshi la polisi.
Hawa hapa SWAT nawafahamu vizuri saana hivyo siwezi kuwafanaisha na Navy seal, isitoshe navy seal huwa wanaungana na SWAT kwenye mission zao za nje na ndani ya nchi. Ndio maana nimekwambia wanafanya Kazi ndani na nje ya nchi hawa SWAT. Wako vizuri sana aswaa kwenye kukusanya taarifa za kiinteligensia na kuattack kwa kutumia akili sana tofauti na Navy wazo nguvu nyingi na akili nyingi ila SWAT wako very versatile kulingana na situation.
Hilo tactical vehicle lao SWAT likipita mtaa mzima unakata mawasiliano kwa mita 100 pande zote. Kubabake!
260206main_Swat2_904.jpg
 
Sio Marekani tu ndo kwny SWAT kila nchi ina SWAT ila wana tofautiana majina ila majukumu ni yale yale
SWAT imeanzishwa na marekani zile module za training zote marekani ndio katengeneza hata sisi Tanzania tuna SWAT yetu ila inaitwa CRT ( crisis response team) sema haiwezi kuwa kama ya USA sababu ya mediocre training, expensive weapons, advanced militialistic gears, lack of modern tactical vehicle, e.t.c but almost kila nchi Duniani imeupenda na imeadopt huu mfumo wa SWAT ila kama uchumi wake ni hohehahe hao SWAT wa nchi hiyo wanakuwa hawana tofauti na askari wa kawaida. Sasa basi nchi yenye SWAT original ni USA peke yake.

SWAT is expensive.
 
Nikijitambulisha utaona natafuta kiki ngoja ninyamaze ila JF kubwa sana hii kijana. Kama bahari.

Been there, done that.
Kwa maelezo yako huhitaji kujitambulisha, nishakutambua na nimetambua ufahamu wako (mdogo) juu ya miundo ya vyombo vya kiusalama. Unahitaji kujifunza zaidi maana kama hata CRT ya Bongo (yenye majukumu kama hayo ya SWAT) huijui basi huwezi kunishawishi kwa lolote. Tulia ufundwe.
 
SWAT ni polisi special kwa ajili ya kupambana na matukioo yanayohitaji Special weapons na special tactics, kama vile utekaji au Robberries ambazo zipo live.
Kila polisi duniani wana SWAT. Na siyo kikosi cha Marekani kama nchi bali polisi wa miji mbalimbali wana SWAT zao.
Hata magereza wana SWATs.
Hata magroup ya ulinzi binafsi wana SWAT ambao ni tofauti na magabachori mfano wanaolinda Bar uswazi au popote.
 
Hawa hapa SWAT nawafahamu vizuri saana hivyo siwezi kuwafanaisha na Navy seal, isitoshe navy seal huwa wanaungana na SWAT kwenye mission zao za nje na ndani ya nchi. Ndio maana nimekwambia wanafanya Kazi ndani na nje ya nchi hawa SWAT. Wako vizuri sana aswaa kwenye kukusanya taarifa za kiinteligensia na kuattack kwa kutumia akili sana tofauti na Navy wazo nguvu nyingi na akili nyingi ila SWAT wako very versatile kulingana na situation.
Hilo tactical vehicle lao SWAT likipita mtaa mzima unakata mawasiliano kwa mita 100 pande zote. Kubabake!
View attachment 956276
SWAT ni polisi special kwa ajili ya kupambana na matukioo yanayohitaji Special weapons na special tactics, kama vile utekaji au Robberries ambazo zipo live.
Kila polisi duniani wana SWAT. Na siyo kikosi cha Marekani kama nchi bali polisi wa miji mbalimbali wana SWAT zao.
Hata magereza wana SWATs.
Hata magroup ya ulinzi binafsi wana SWAT ambao ni tofauti na magabachori mfano wanaolinda Bar uswazi au popote.
 
SWAT imeanzishwa na marekani zile module za training zote marekani ndio katengeneza hata sisi Tanzania tuna SWAT yetu ila inaitwa CRT ( crisis response team) sema haiwezi kuwa kama ya USA sababu ya mediocre training, expensive weapons, advanced militialistic gears, lack of modern tactical vehicle, e.t.c but almost kila nchi Duniani imeupenda na imeadopt huu mfumo wa SWAT ila kama uchumi wake ni hohehahe hao SWAT wa nchi hiyo wanakuwa hawana tofauti na askari wa kawaida. Sasa basi nchi yenye SWAT original ni USA peke yake.

SWAT is expensive.
SWAT ni polisi special kwa ajili ya kupambana na matukioo yanayohitaji Special weapons na special tactics, kama vile utekaji au Robberries ambazo zipo live.
Kila polisi duniani wana SWAT. Na siyo kikosi cha Marekani kama nchi bali polisi wa miji mbalimbali wana SWAT zao.
Hata magereza wana SWATs.
Hata magroup ya ulinzi binafsi wana SWAT ambao ni tofauti na magabachori mfano wanaolinda Bar uswazi au popote.
Ni kweli kabisa
 
Ni kweli kabisa
Watu wengi wanawajua SWAT kwa Kazi za uncontrably Riot, crowd control au intensive robbery hawajui kwamba wale jamaa huwa wanafanya hadi counter terrorism na vita ya madawa kwa kupeleleza na kufanya ambush ndani na nje ya mipaka ya nchi wakishirikiana na Jeshi la marekani US army.

They are massive and everywhere.
 
SWAT ni special force ya USA ikiwa ni kifupi cha (Special Weapon And Tactics) SWAT. Ni kikosi cha askari wenye akili na techniques za hali ya juu zaidi Duniani kwenye mapambano ya mkono au silaha za ana kwa ana zile (Close quarter Battle) CQB.
Majukumu yake ni kuhandle situation ngumu za ndani na nje ya marekani zinazousisha Ugaidi, Ujambazi wa kutumia silaha nzito, e.t.c

Kwa sababu ya terrorism na vita ya madawa SWAT hulazimika kufanya Kazi nje ya mipaka ya USA kwa kukusanya ushahidi na kufanya ambush.
Ni polisi tu.. Mpango wa kutisha ni navy seal
 
Back
Top Bottom