Wanawake walio wengi wana huduma mbaya sana maofisini

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,422
Reaction score
1,254
Enyi akina Dada/mama mnatuboa sana na Huduma zenu utafikiri ofisi ya kwako kumbe nawe ni kibarua tu
1, mnanuna hovyohovyo
2, majibu yenu ya hovyohovyo
3,mnauliza maswali ya hovyohovyo
In short mnakera sana tofauti na sisi ME.

Nahisi kuna mdau pia alishawahi lalamika.mnastress sana.
Naandika haya nikitokea ofisi moja hapa mjini.
Shuhuda na mapovu ruksa nitafulia blanket langu
 
Mimi mwenyewe Jana nilikua mhanga wa hili. Yaani kuna kitu nlikua namuelezea anajifanya haelewi kabisa. Mpaka wageni wengine wanamuelezea ambao na wao wamenielewa haelewi.
Ila nilikua kumsamehe nikaona atakua kilaza takoo lake kubwa ndio lilimpa ile kazi pale.
Na imagine ni ofisini kubwa ya serekali.
 
Walio wengi hata hizo kazi zao wanapewa na mabosi zao.
Kwahiyo wanaowasikiliza ni waliowaweka madarakani.

Ni wachache sana wenye moyo mzuri wa kazi na majibu mazuri.
 
Mimi mwenyewe Jana nilikua mhanga wa hili. Yaani kuna kitu nlikua namuelezea anajifanya haelewi kabisa. Mpaka wageni wengine wanamuelezea ambao na wao wamenielewa haelewi.
Ila nilikua kumsamehe nikaona atakua kilaza takoo lake kubwa ndio lilimpa ile kazi pale.
Na imagine ni ofisini kubwa ya serekali.
Mkuu usikute sio malingo yake Bali alikuwa haelewi kweli ..
Ukiangalia na usawa huu watu wanaajiliwa kwa kuangaliana huyu mtoto Wa nani au katumwa na nani au wengne ndio hvyo tena ajira wanazipatia vitandani lakn sio kuangalia kiwango cha elimu na utendaji kazi wake
 
Nilishawahi kukinukisha Ubungo plaza kwenye ofisi za vodacom kwa ajili ya Dada mmoja taahira mjinga hivi nimeenda kurenew line akaniambia nimtajie no5 zilizokua kwenye line iliyokufa namtajia anasema hizo no hazipo niliwasha moto nikachana chana mafomu yake wakaja kunikamata walinzi wao na askari wa nmb wakanitoa nje msobe msobe nikasepa zangu ilikuwa 2010.
 
Enyi akina Dada/mama mnatuboa sana na Huduma zenu utafikiri ofisi ya kwako kumbe nawe ni kibarua tu
1, mnanuna hovyohovyo
2, majibu yenu ya hovyohovyo
3,mnauliza maswali ya hovyohovyo
In short mnakera sana tofauti na sisi ME. Nahisi kuna mdau pia alishawahi lalamika.mnastress sana.
Naandika haya nikitokea ofisi moja hapa mjini.
Shuhuda na mapovu ruksa nitafulia blanket langu
Nilikutana na mmoja mhudumu Wa halotel alinijibu vibaya yule Dada mpaka akawa ananisonya kwakuwa siku ile sikupata vitu vyangu nilikuwa nacheka tu..
 
Ni kweli.wanawake wengi hawana customer care.nasio hao tu maofisini tunaokutana nao ata hawa wanaotoa huduma kupitia mitandao ya simu aidha wa mabank na ofisi zingine.Majibu yao ni ya haraka haraka na wengi wao ukiwauliza maswali au akufafanulie zaidi wanakua wakali tofauti na wanaume.
 
Kumwajiri mwanamke hasa hawa wasichana wadg wadg na kumweka sehem ambayo anahudumia wateja/wageni moja kwa moja n kubeti, anaweza akuvutie watu au akukimbizie,

Ila napendaga sana wanawake wenye dharau maana sijawah waacha na amani ya nafsi, sinaga dharau ila NAIWEZA na fitna ndio usiseme,
 
Nilishawahi kukinukisha Ubungo plaza kwenye ofisi za vodacom kwa ajili ya Dada mmoja taahira mjinga hivi nimeenda kurenew line akaniambia nimtajie no5 zilizokua kwenye line iliyokufa namtajia anasema hizo no hazipo niliwasha moto nikachana chana mafomu yake wakaja kunikamata walinzi wao na askari wa nmb wakanitoa nje msobe msobe nikasepa zangu ilikuwa 2010.
Inawezekana system yao ndio haikuxitambua hizo namba 5 kuona kama ukweli uliwasiliana nazo. Kama itakua ni hivyo basi hilo litakua nje ya uwezo wake lakini kama alikufanyia ili akukomeshe hapo alikua amekosea sana.
 
Nilishawahi kukinukisha Ubungo plaza kwenye ofisi za vodacom kwa ajili ya Dada mmoja taahira mjinga hivi nimeenda kurenew line akaniambia nimtajie no5 zilizokua kwenye line iliyokufa namtajia anasema hizo no hazipo niliwasha moto nikachana chana mafomu yake wakaja kunikamata walinzi wao na askari wa nmb wakanitoa nje msobe msobe nikasepa zangu ilikuwa 2010.
Sasa kosa lake lilikuwa nini???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom