Katika maisha yangu sitakaa nikope tena hizi hela zinazoitwa za MOTO.
Biashara ya ukopeshaji wa fedha hizi hufanya na watu wenye mitaji ya kutosha na wanajiwekea riba zao wanazojitakia na...
Ni lini utakuja kutembelea kiwira rungwe na mbeya kiujumla japo tuamini kuwa CCM inautambua mchango wa wanambeya katika kuifanya ccm iwe madarakani.
Bila kusahau kupita barabara ya kk ikuti ileje...
Mjue siyo yeye tu anayekimbia,wamekwishakimbia wengi,huwezi ukakaa sehemu hapaeleweki,TRA wamekuwa kama wehu mara mkuu wa wilaya anakuja na makamera ya waandishi wa habari unasikia weka ndani...
Kama unawaza kuwa kiongozi basi jifunze/funzwa mambo haya makuu:
1 face your fears
2 build discipline muscle
3 be optimistic
4 stop complaining
5 learn to learn
6 listen more
7 measure results
8...
Nimechelewa dak 1 tu check in wamenizuia kabisa pamoja na kubembeleza kote kule halafu naenda kusogeza tiketi mbele wanadai 255 Ikabidi nikakate air Tanzania tiketi mpya kwa 230
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Luzango Khamsin amemhukumu kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh 300,000 dereva wa gari aina ya Noah, Rashid Ally...
Linapokuja suala la kuingizwa mjini haijalishi wewe ni born town au wakuja ni "timing" tu.
Kuna kipindi michezo ya kulizana pesa ilikua mingi sana, nakumbuka kuna mwaka katika mishe mishe zangu...
Hivi Baba wa familia akisema haya kwa watoto wake tumueleweje?
Wanangu mtaishi kama mashetani....Labda hatupendi au? Au huenda tumeudhi?
Wanangu atakayeendelea kubaki hapa mjini ni kidume...Sasa...
Gene Editing: inasemekana mwaka 2018 wataalamu wameweza kurekebisha gene katika miili ya binadamu. Hii maana yake kama mtu ana gene inayobeba ugonjwa hiyo gene inaweza kurekebishwa na mtu akawa...
Membe anaitwa akajieleze kwa kutishia uhai wa chama chenu,source ni Musiba kwamba The superb ,master Spy B.MEMBE anataka kugombea Urais 2020
Mmerukwa na akili,mmepanick mnahangaika naye lakini...
Sijajua tatizo hasa ni wapi, abiria wapo wengi mpaka kuzidi na tunalipa cash,
Gerezani kituo kikubwa saa 8 mchana huu dirisha la ticket moja ndio linafanya kazi,
Mabasi hasa ya kimara baada ya...
Kuna mwanangu mmoja amekuwa akipata sifa nyingi juu ya haiba ya muenekano wake kupitia mabinti wengi ikiwamo hata washkaji kwa kumuambia ana muenekano bomba sana lakini chakushangaza akiingia...
Wanabodi
Nimepokea bad news ya tukio la kifo cha mwanafunzi mmoja wa Shule ya Msingi ya Kijichi, baada ya kuangukiwa na ukuta wa shule hiyo asubuhi hii.
Source ni SMS news tip.
Habari hii...
Habari wandugu,
Naomba kujuzwa hili kwa mwenye uwelewa zaidi, mimi nilikuwa muajiriwa secta binafsi ila kuazia mwezi wa pili mwaka huu ajira yangu ilikuwa terminated,nimekuwa nikifuatilia mafao...
Mwanzoni walikuwa posta wakahamia kapripoint jirani na BOT,sasa hawapo tena.Mwenye kujua wapi wamehamia jamani asaidie, watu wengi nilikuta wanaangaika.
MWENYE KUJUA WALIKOAMIA ASAIDIE
Habari wana bodi.
Leo asubuhi nikiwa na ka baby walker kangu nimepigwa mkono na trafic.
Anasema yuko kwenye ukaguzi hivyo akaingiza no kwenye mashine gari ikasoma inadaiwa 37,000. Kwenye kumbu...
1. You think about feelings.
Emotional intelligence begins with what is called self- and social awareness, the ability to recognize emotions (and their impact) in both yourself and others.
That...
Hakuna mtanzania asiye jua kuwa Sera za TCRA kuhusu ving'amuzi sio rafiki kwa raia wala kwa wamiliki wa media lakini hawataki kuibadilisha hiyo Sera na wametia pamba masikio yao ili wasisikie...