Hicho kitu cheupe kwenye mguu sio kwamba kitu kimefungwa bali ni usaa uliotanda kuzunguka eneo hilo
Kila nimipita Ubungo kurejea nyumbani muda ya jioni mara nyingi namuona kijana huyu akiwa na...
Kati ya mambo ambayo yanafanywa sana na watu bila ya kujua gaharama yake ni hili la kufanya agano la ndoa madhabahuni na huku kiumbe kikiwepo tumboni.
Imekuwa kama ni jambo la kawaida sana...
Moja kati ya mambo ambayo yanachangia kurudisha uchumi wetu binafsi nyuma ni namna tunavosimamia mapato yetu,matumizi yetu na madeni yetu
Mapato yetu yanaweza kuwa ni faida katika...
Leo ngoja niwaulize wanawake na waume zenu. Maana ukibahatika kukaa kwenye vijiwe vyao hasa wajawazito hofu yao kubwa ni kupoo wakiwa labour. Wanaogopa kweli.
Wanawake wengi wanahusisha kupoo na...
⚫Nasikia Umepata Kazi
⚫Nasikia Umenunua Gari
⚫Nasikia Mmeachana
⚫Nasikia Unajenga
⚫Nasikia This Nasikia That ...
Mara Nyingi Watu Hawa Ndio Wachawi Huwa Hawapendi Kusikia Zuri Kutoka Kwako.
Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora, John Utamwa amemwachia bila masharti mkazi wa kijiji cha Mahene Wilaya ya Nzega aliyekiri kumuua bila kukusudia mtu anayedaiwa kumbaka mkewe.
Kabla ya uamuzi...
NENO KUHUSU CCM NA MEMBE
Mengi yamesemwa kuhusu suala la CCM na Membe. Mambo yanayowahusu CCM wabaki nayo wenyewe. Ila ninaona wanavuka mipaka. Mtu wa CCM anapotoa ujumbe kuhusu suala la Membe na...
Habari zenu
Kama kuna anayefaham jinsi ya kuifuta kabisa TBC isionekane hapa kwenye chanel list naomba anielekeze, kiukweli nikiifungua nakosa amani siipendi kabisa nahitaji ipotee kabisa kwenye...
Habari wakuu,
Sitasahau siku niliyofananishwa na mdada mmoja huko kijijini kwetu.
Ilikuwa hivi;
Huyo dada alikuwa ni rafiki yangu na mara nyingi nilipokuwa nikipita naye watu walikuwa wakisema...
Tuesday, 07 June 2011 20:57 0diggsdigg
Filbert Rweyemamu, Arusha
MKUU wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu, Jenerali Mirisho Sarakikya ameitaka serikali kuangalia upya maslahi ya wanajeshi wastaafu...
....Is this science(gravitational forces), witchcraft or man made...??
.....Je katika really world kweli inaweza exist au kiini macho?
Au ni man made, mabeberu wametengeneza wapige pesa za utalii?
Enyi wanywaji wa Konyagi na K-vant ebu nisaidieni
Sababu hasa ya kulaza chupa ya Konyagi mkiwa mnakunywa ni nini? Au ni mbwembwe tu za kinywaji?
Lkn nimewahi kusikia ukiinywa huku ukiwa umelaza...
Embu tuliza akili kidogo kwenye kusoma mada hii...
Mungu katuumba kwa jukumu la kumtii amri zake na mafundisho yake...
Kwa imani ya Dini yangu imekataza kwenda kwa waganga nimtegemee yeye...
Japan ndiyo nchi pekee duniani yenye Idadi kubwa ya Nyumba kuliko idadi ya Wananchi / Watu wake na kwamba kutokana na Nyumba nyingi kuwa hazina Watu sasa Serikali ya nchi hiyo imeamua kuwagawia...