Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Hapa ni Pongwe Mkoa wa Tanga, Mkandarasi kamwaga kifusi kina tope ambacho kimekuwa ni kero kubwa kwa wananchi kipindi hiki cha mvua ni takribani miezi mitatu sasa, hakuna dalili zozote za...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Na DR. ZACK ✍️ Katika dunia ya leo, ushindani wa mataifa haupimwi tena kwa ukubwa wa jeshi au wingi wa rasilimali pekee. Mataifa sasa yanashindana kwa ushawishi wa kimataifa, uwezo wa kuvutia...
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Ni nadra sana katika sehemu nyingi zenye Zebra crossings ambazo hakuna traffic police karibu kukuta madereva wa magari, Bajaji au Bodaboda wakiheshimu na kuruhusu watembea kwa miguu kuvuka. Ni...
6 Reactions
12 Replies
211 Views
Habari Aisee hili suala ni zito sana, unakuta ofisi nzima anaejua kutumia computer ni mmoja tu Walimu ndo takataka kabsa kati walimu 10 ni mmoja ndo anajua kutumia computer au unaweza kuta wote...
1 Reactions
12 Replies
225 Views
Anonymous
Nimeona taarifa ya DC mmoja akikemea utupaji taka kwenye Fukwe za Bahari ya Hindi. Taka zinazotupwa beach ni chache, kwani nyingi huingia kupitia mabonde ya mito inayopeleka maji baharini...
1 Reactions
2 Replies
136 Views
Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo...
3 Reactions
7 Replies
248 Views
Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu...
15 Reactions
79 Replies
853 Views
Wakisema ambao hawajashika milioni 10 toka mwaka uanze wauliwe vp utapona , mimi siri yangu sisemi ila ukweli naujua mwenyewe vp wewe , watafutaji wote Mungu atufungulie milango ya riziki Hiko...
8 Reactions
45 Replies
563 Views
Hivi kwa nini licha ya kuwa jirani na Rwanda bado hatujapata motivation ya kufanya majiji yetu yawe masafi? Tuna majiji sita tu 1. Dar es Salaam 2. Mwanza 3. Arusha 4. Dodoma 5. Tanga 6. Mbeya...
5 Reactions
33 Replies
459 Views
Anonymous
Mimi ni Mkazi wa Jijini arusha, nina malalamiko yangu juu ya mamlaka ya Maji Arusha niliomba muunganisho wa maji mapya na wakanipa gharama za kulipia, nikalipia kwa muda muafaka ila cha kushangaza...
1 Reactions
1 Replies
81 Views
Kule mnaitwa "abeed" , yani mtumwa, ni jina lililozoeleka kumuita ngozi nyeusi yoyote karne na karne ila huku unatoa mimacho ukiwa unakomenti kwa hasira wakati kule utalazwa chooni maana hauna...
1 Reactions
5 Replies
139 Views
Hii ni barabara kutoka Ubena Zomozi kwenda Ngerengere kwa mujibu wa mkataba ilitakiwa kujengwa ndani ya siku 365 ila mpaka sasa ni miaka 2 inaisha ila hakuna jitihada zozote kumalizika imebaki...
1 Reactions
5 Replies
134 Views
Kuna mstari usioonekana unaokatiza maisha yetu—mstari mwembamba sana, lakini wenye nguvu kuliko tunavyodhani. Ndani yake, sisi ni kitu kimoja. Nje yake, tunasambaratika bila kelele. Ndani ya...
2 Reactions
6 Replies
178 Views
Wilaya ya Ngara ina mahakama nyingi za mwanzo ambazo hazina mahakimu. Unakuta hakimu mmoja anatembelea zaidi ya mahakama tatu hii inashusha weledi kwa kuwa umbali wa kituo kimoja mpaka kingine ni...
0 Reactions
2 Replies
117 Views
Anonymous
Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka. Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha 😀😀 Wazee wa kupiga bao
3 Reactions
7 Replies
304 Views
Wengi wao walikuwa wanaonekana wamepiga hatua au wana mwlekeo mzuri Biashara zilikuwa zinaenda, maisha yalikuwa ya uhakika, watu waliwaheshimu, afya imara, kufanya vizuri darasani, n.k. Lakini...
5 Reactions
15 Replies
378 Views
Wanabodi, Sisi Watanzania tuna utamaduni wa kuchangiana kwenye sherehe za harusi au misiba, Mimi nimekulia eneo linaloitwa Drive Inn Flats, ambalo nyuma yake limepakana na eneo la Msasani...
8 Reactions
22 Replies
381 Views
Sema miji ya Tanzania hovyo sana Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na...
28 Reactions
114 Replies
2K Views
Virus vya Ebola hii ni hatari zaidi ya ile Ebola iliyozoeleka. Je Serikali inajiandaa kukabiliana nayo! Je mwananchi wa kawaida katika family level tunajiandaa na hii new reality? Kuelekea 2029...
1 Reactions
0 Replies
75 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…