Je Adam na Hawa ndio waliotuzaa Dunia nzima au Kulikuwa na uumbaji wa Binaadam Wengine?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,346
2,000
Katika kitabu cha mwanzo kinaeleza kuwa Mwenyezi Mungu alimuumba Adam na Hawa na wao wakawazaa Kaini na Abel.

Kitabu hicho kinaeleza Kuwa baada ya kain Kumuonea wivu nduguye Abel, Alimuuwa Nduguye hivyo kitendo hicho Kilimchukiza sana Allah, hivyo Kaini akafukuzwa katika ardhi ile na Mwenyezi Mungu.
IMG_20181211_163954_347.jpeg


Kitabu cha Mwanzo kinaeleza kuwa baada ya Kain kufukuzwa alienda katika Nchi ya Nodi na huko alikuta kuna watu wanaishi na Akapata mke na kumzaa Henoko.

1.Je watu walioishi katika Nchi ya Nodi kama kitabu cha mwanzo kinavyoeleza walitokea wapi?

2. Je kuna uumbaji mwingine ulifanyika kuacha Adam na Hawa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom